FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,789
- 10,577
Jamaa anaoneka smart mkuu. Ila asiwe na hasira , kuna watu pasua humu balaaaMkuu nmefatilia majibu yako sehem nyingi nimegundua ww ni mtu smart na muelewa sana...lazima nikutafute mwezi ujao unitaftie masta kali
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani?Master zingine zipo baruti
IPO sehemu gani100K
Nimekwambia ikifika elfu 30 mniambie... Sijasema unavyo wapi.. Ila nikitaka kwa Azizy aly, mbgala ntakushtua mwezi wa 11 sema bei itashuka zaidi itakuwa 25Usijali mkuu vya bei yako vipo ninavyo maeneo ya buza na kwa azizi aly, rangi tatu, japo hata hayo maeneo vya hadhi kwa bei hiyo sitakupeleka
Pole sana ila kwa udalali wangu mtu akiniambia anataka chumba cha 30k napata tabu sana kumtafutia.. ila hiki sio hadhi yako mkuu vya hadhi yako vya 30k vipo hiki si chako, usikishushe thamani, kama ww uwezo wako ni wa 30k sema tu, hapa waachie wengineNimekwambia ikifika elfu 30 mniambie... Sijasema unavyo wapi.. Ila nikitaka kwa Azizy aly, mbgala ntakushtua mwezi wa 11 sema bei itashuka zaidi itakuwa 25
Mbezi chumba,seble,choo ndani,feni chumban na seblen,ukuta mrefu,luku ya kwako,simtank lakwako lita 2000
120,000 tu
I
nategemea na master na sehem iliyopo, ila vizuri vinaanzia 150k to 200k au hata zaidi
Hapo sawa...Pole sana ila kwa udalali wangu mtu akiniambia anataka chumba cha 30k napata tabu sana kumtafutia.. ila hiki sio hadhi yako mkuu vya hadhi yako vya 30k vipo hiki si chako, usikishushe thamani, kama ww uwezo wako ni wa 30k sema tu, hapa waachie wengine
Usafiri wa kwenda wapi? Watu mnakariri sana mambo...Hapo sawa... Ila ukijumlisha usafiri inazidi kodi masaki.
Watu mnaokaa kwa mashemeji mnasumbua sana..Mkifika elfu 30 mniambie