Chumba Master kinapangishwa Kimara Baruti DSM

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,128
Reaction score
2,452
TANGAZO NI LA MDA ILA HIKI NI KINGINE KWENYE HII HII NYUMBA SO KINA CHUMBA KINGINE KIMEKUA WAZI, chumba kingine kiko wazi

Chumba ni kizuri sana, kikubwa na kipo mazingira mazuri, kipo kimara baruti, na hakiko mbali na bara bara ya mwendonkasi, mwendo wa kutembea tu, bei ni 100,000/=kwa mwezi, ni chumba master yani chumba na choo ndani, huduma muhimu zipo, maji na umeme,
Kwa maelezo zaidi nichek kwa
0713415537 au
0684448888
Nb; Kwa wale wa chumba na sebule na Nyumba kuanzia vyumba viwili na kuendelea pia msisite kunicheki
20180522_113738.jpg
20180522_113815.jpg
20180522_113854.jpg
20180522_113928.jpg
20180522_113956.jpg
20180522_114025.jpg
20180522_114050.jpg
 
Single room laki moja!Wakati sinza napata master's bedroom na sebule kwa laki na ishirini.Tena usawa wenyewe huu!
Kapange tu huko mkuu, Na hiyo unayesema chumba master na sebule kwa 120k ni uongo, acha kujisemea tu, japo sishangai hiyo bei inaendan
da na hadhi ua mtu, hapo ndipo ulipofikia na ni hadhi yako kwa hapo sinza, ila najua wakaaji wa sinza wapo hapa na wanakushangaa, sinza kuna master tu za 150k mpaka lakimbili, hiyo chumba na sebule chako inaelekea unakaa mabanda ya kuku uwani!
 
Yaah.. Hata Tandale ni sinza pia.
Uko sawa.
Hata huko tandale hiyo master na sebule kwa 120k akapambane na hali yake,
lakini sinza mtu akujengee kijumba kizuri sinza, kiwe, chumba na sebule, marumaru, slidwindos, gypsum, uzio mazingira mazuri hewa safi na maji yapo, umeme wa kujitegemea alafu akuwekee 120k acha kudanganya uma!
 
Maoni tu.Utawapata
 
Marumaru,gypsum unaona vitu vya ajabu mkuu?
 
Kapange tu huko mkuu, Na hiyo unayesema chumba master na sebule kwa 120k ni uongo, acha kujisemea tu, japo sishangai hiyo bei inaendan
da na hadhi ua mtu, hapo ndipo ulipofikia na ni hadhi yako kwa hapo sinza, ila najua wakaaji wa sinza wapo hapa na wanakushangaa, sinza kuna master tu za 150k mpaka lakimbili, hiyo chumba na sebule chako inaelekea unakaa mabanda ya kuku uwani!
Hapana nakaa kwenye nyumba ya tembe na kula ugali kwa mama.
 
Bandiko zuri ...shida ule usafiri wa haraka kufika huko ndio majanga[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mbezi chumba,seble,choo ndani,feni chumban na seblen,ukuta mrefu,luku ya kwako,simtank lakwako lita 2000

120,000 tu
 
Unaanzaje kupanga Mbezi mkuu? Au ni Mbezi Beach sio Mbezi Shamba?

Mbezi Shamba ni bora ujenge tu hata kachumba kamoja choo cha nje sio mbaya.
 
Chumba ni kizuri sana, kikubwa na kipo mazingira mazuri, kipo kimara baruti, na hakiko mbali na bara bara ya mwendonkasi, mwendo wa kutembea tu, bei ni 100,000/=kwa mwezi, ni chumba master yani chumba na choo ndani, huduma muhimu zipo, maji na umeme,
Kwa maelezo zaidi nichek kwa
0713415537 au
0684448888
Nb; Kwa wale wa chumba na sebule na Nyumba kuanzia vyumba viwili na kuendelea pia msisite kunichekiView attachment 783489View attachment 783490View attachment 783491View attachment 783492View attachment 783493View attachment 783494View attachment 783495

ukifika 60,000 niambie nimpangia mchepuko wangu
 
Unaanzaje kupanga Mbezi mkuu? Au ni Mbezi Beach sio Mbezi Shamba?

Mbezi Shamba ni bora ujenge tu hata kachumba kamoja choo cha nje sio mbaya.
mbezi shamba?uwe na adabu kijana,watu wamepanga kiluvya mpaka makurunge kote ni mji alafu we unaita mbezi tembea ujionee,
 
hiki chumba mwez wa pili mwaka huu ulikitangaza na ukasema umepata mteja.. naona amekaa miezi mitatu tu amehama.. nini tatizo?

Chumba ni kizuri sana, kikubwa na kipo mazingira mazuri, kipo kimara baruti, na hakiko mbali na bara bara ya mwendonkasi, mwendo wa kutembea tu, bei ni 100,000/=kwa mwezi, ni chumba master yani chumba na choo ndani, huduma muhimu zipo, maji na umeme,
Kwa maelezo zaidi nichek kwa
0713415537 au
0684448888
Nb; Kwa wale wa chumba na sebule na Nyumba kuanzia vyumba viwili na kuendelea pia msisite kunichekiView attachment 783489View attachment 783490View attachment 783491View attachment 783492View attachment 783493View attachment 783494View attachment 783495
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom