Ila kimara self Za 60-70 nzuri zipo sana tuHiyo sina! ninazo za laki!
Mkuu kama hujawahi kuishi huku usishangaze uma, kimara kwa ndani ndani unaweza pata sehemu ya kupanda boda au bajaji, ila kuanzia kimara korogwe kuja ubungo kwa sehemu ya kutembea na master iwe nzuri kwa bei hiyo hupati! na usidanganike kua kwenye nyumba au vyumba madalali wanapandisha bei hiyo futa, mimi ukija kwenye hiki chumba nitaungana na ww hata kumwambia mwenye nyumba akupunguzie nipate yangu ya mwezi, kumbuka madalali kwenye chumba kama hicho sio mmoja, so kwenye nyumba ni kupambana kuleta mteja kwa mwenye nyumba, ili upate ya mwezi sio upate cha juu! na ndio mana kuna mwenye nyumba anaweza aweke bei yake tumshauri, kwa bei hiyo punguza nyumba au chumba kwa bei flani kitakaa sana!Ila kimara self Za 60-70 nzuri zipo sana tu
Sema madalali wanapandisha bei.
[emoji252] [emoji479]
Ninaishi kimara mwishoMkuu kama hujawahi kuishi huku usishangaze uma, kimara kwa ndani ndani unaweza pata sehemu ya kupanda boda au bajaji, ila kuanzia kimara korogwe kuja ubungo kwa sehemu ya kutembea na master iwe nzuri kwa bei hiyo hupati! na usidanganike kua kwenye nyumba au vyumba madalali wanapandisha bei hiyo futa, mimi ukija kwenye hiki chumba nitaungana na ww hata kumwambia mwenye nyumba akupunguzie nipate yangu ya mwezi, kumbuka madalali kwenye chumba kama hicho sio mmoja, so kwenye nyumba ni kupambana kuleta mteja kwa mwenye nyumba, ili upate ya mwezi sio upate cha juu! na ndio mana kuna mwenye nyumba anaweza aweke bei yake tumshauri, kwa bei hiyo punguza nyumba au chumba kwa bei flani kitakaa sana!
So mkuu sema ni uwezo wako ila usitusingizie madalali!
Mimi sio mpangaji wa hiyo bei mkuu, na huyo mwenye nyumba hata sent hashushi, hao wateja wanne waseme kama ni mbezi au kibamba zipo ila sio hapa baruti, ingekua mm ndio napanga mkuu ningeweka Hata chini ya hapo, coz kama hiki chumba nashirikisha madalali wenzangu, means anaweza aje mteja tuwe kama madalali watatu au hata wanne tugawane hiyo ya mwezi, sasa je kama ningeweza kupunguza mpaka 70k si ningekua mbia uje nao nipate hiyo 70 kuliko tugawane 100k wanne, au hata wakati mwingine kipangiswe na dalali mwingine nisipate hata shilingi!
Luku yake ikoje, na maji je?Mimi sio mpangaji wa hiyo bei mkuu, na huyo mwenye nyumba hata sent hashushi, hao wateja wanne waseme kama ni mbezi au kibamba zipo ila sio hapa baruti, ingekua mm ndio napanga mkuu ningeweka Hata chini ya hapo, coz kama hiki chumba nashirikisha madalali wenzangu, means anaweza aje mteja tuwe kama madalali watatu au hata wanne tugawane hiyo ya mwezi, sasa je kama ningeweza kupunguza mpaka 70k si ningekua mbia uje nao nipate hiyo 70 kuliko tugawane 100k wanne, au hata wakati mwingine kipangiswe na dalali mwingine nisipate hata shilingi!
Mwenye nyumba hata shilingi hashushi
Hua sibishani sana mkuu kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake! na ukipata master chini ya hapo kuanzia ubungo mpaka kimara basi itakua ya kwenda kwa bajaji au hata kwa bodaboda, ila sehem ya kutembea Master nzuri kama hii, tegemea juu ya laki,Ninaishi kimara mwisho
Jirani kabisa na msikiti
Nimekuwa dalali pia naongea ninachokijua
Self Kimara unapata kwa hiyo bei
Shuka njia ya Tanesco,bonde la mchicha kwa chini kidogo kuna mtu amehama
Nyumba ni nzuri,geti na fence bei ni 70k
[emoji252] [emoji479]
Sawa,Hua sibishani sana mkuu kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake! na ukipata master chini ya hapo kuanzia ubungo mpaka kimara basi itakua ya kwenda kwa bajaji au hata kwa bodaboda, ila sehem ya kutembea Master nzuri kama hii, tegemea juu ya laki,
Sawa,
Sema haujaviona ila vipo na nimepangisha watu kuanzia Kibo, mpaka Kimara.
Hakuna boda boda wala nini.
[emoji252] [emoji479]
"Nilikua dalali"Safi sana kama unavyo niambie nikuletee wateja mana jana kwenye hizi nilizonazo kuna kama watatu walikuja na 90k mwenye nyumba kamgoma.
Sema kama unavyo nikuletee leo leo
Mkuu mm si mwenyenyumba! Hata hiyo sishangai kwa bei hiyo coz mm mwenyewe wakati naanza kupanga niliwahi kukaa hapo kwenye hizo master tena kwa bei hiyo hiyo, na nilikua nalipa 100,000 kwa mwezi, na kutokana na maendeleo binafsi nikahamia nyumba nyingine kubwa, ambapo mtu akiniambia nimtafutue nyumba nzuri na aina ambayo nimehamia nategemea angalau bei ilingane na yangu au iwe juu,"Nilikua dalali"
Mimi siyo dalali kwa sasa.
Na hiyo ni challenge kwako ujue kuna kitu cha bei zaidi/pungufu ya unavyoamini wewe.
Unaweza kupokea ama kuacha
[emoji252] [emoji479]
Kweli jamaa wewe ni mbishi.Mkuu mm si mwenyenyumba! Hata hiyo sishangai kwa bei hiyo coz mm mwenyewe wakati naanza kupanga niliwahi kukaa hapo kwenye hizo master tena kwa bei hiyo hiyo, na nilikua nalipa 100,000 kwa mwezi, na kutokana na maendeleo binafsi nikahamia nyumba nyingine kubwa, ambapo mtu akiniambia nimtafutue nyumba nzuri na aina ambayo nimehamia nategemea angalau bei ilingane na yangu au iwe juu,
Tutafute mshiko tukae sehemu tunazozitaka tusiwe watu wa kulalamika
"Nilikua dalali"
Mimi siyo dalali kwa sasa.
Na hiyo ni challenge kwako ujue kuna kitu cha bei zaidi/pungufu ya unavyoamini wewe.
Unaweza kupokea ama kuacha
[emoji252] [emoji479]
HahahaaShikamoo... mkuu inaonekana umefanya kaz ya udalali miaka ya zaman mno...
Enzi za manzese panaitwa msufini.
Mkuu nmefatilia majibu yako sehem nyingi nimegundua ww ni mtu smart na muelewa sana...lazima nikutafute mwezi ujao unitaftie masta kaliMimi sio mpangaji wa hiyo bei mkuu, na huyo mwenye nyumba hata sent hashushi, hao wateja wanne waseme kama ni mbezi au kibamba zipo ila sio hapa baruti, ingekua mm ndio napanga mkuu ningeweka Hata chini ya hapo, coz kama hiki chumba nashirikisha madalali wenzangu, means anaweza aje mteja tuwe kama madalali watatu au hata wanne tugawane hiyo ya mwezi, sasa je kama ningeweza kupunguza mpaka 70k si ningekua mbia uje nao nipate hiyo 70 kuliko tugawane 100k wanne, au hata wakati mwingine kipangiswe na dalali mwingine nisipate hata shilingi!
Mwenye nyumba hata shilingi hashushi
Asante mkuu karibu sana!Mkuu nmefatilia majibu yako sehem nyingi nimegundua ww ni mtu smart na muelewa sana...lazima nikutafute mwezi ujao unitaftie masta kali
Sent using Jamii Forums mobile app