Ni kweli upo sahihi, ila mpangaji alietakiwa kuondoka alikosa sehem aliyotaka kuhamia, mana yeye alitaka kuanzia ya vyumba viwili, na chumba kilivyo kizuri akaona aongeze tu mda mpaka akipata nyumba nyingine nzuri angalau yenye hadhi kama ya chumba hiki,ndio kapata..hiki chumba mwez wa pili mwaka huu ulikitangaza na ukasema umepata mteja.. naona amekaa miezi mitatu tu amehama.. nini tatizo?
Sinza kwa remy, madukani, palestina, mori na mugabe vyumba vipo vya bei hiyo.Yaah.. Hata Tandale ni sinza pia.
Uko sawa.
Yap vipo vya kawaida, ila kwa master maeneo hayo kwa bei hiyo ni ngumu kupataSinza kwa remy, madukani, palestina, mori na mugabe vyumba vipo vya bei hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi ni kiasi ganiChumba kingine kimepatikana kwenye master huzi, karibuni