Chumba kizuri jamani unaweza fikiria hauto kufa siku moja

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,941
1888758_222620504609261_51401229_n.jpg
 
Mkuu ni kizuri sana lakini kuviacha kawaida tu
soma ZABURI 1:1 Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana ..!
Kama watu wote tungekuwa na akili kama ya huyu jamaa,basi Dunia isingekuwa na maendeleo hata kidogo!

Pili huyu jamaa ni mbinafsi kwa sababu,ukifa basi unawaachia watakaobaki!
 
Mkuu ni kizuri sana lakini kuviacha kawaida tu
soma ZABURI 1:1 Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana ..!

Kennedy kwa hiyo tusivitafute tukiwa na uhai wetu hapa duniani? Au sizitaki mbichi hizo rafiki! Nadhani tuvitafute tuishi maisha mazuri, then tufe tuwaachie tuliowazaa, kama huna uliowazaa, tuwape wasiokuwa navyo! ndio msimamo wangu! Have a nice day
 
Mkuu chunguzi vizuri naona kama kuna madirisha upande uleule kitanda kilipo!

Hapa sehemu ya kulala ipo -"congested" sana, mkuu ninapolala utashangaa hakuna makolokolo yasiyo ya msingi. Simple kabisa
 
Sawa mkuu,hilo ni chaguo lako,lakini kwa upande mwingine kuna watu wanapenda sana vyumba vya namna hii,mmojawao ni mimi binafsi!
 
Kennedy kwa hiyo tusivitafute tukiwa na uhai wetu hapa duniani? Au sizitaki mbichi hizo rafiki! Nadhani tuvitafute tuishi maisha mazuri, then tufe tuwaachie tuliowazaa, kama huna uliowazaa, tuwape wasiokuwa navyo! ndio msimamo wangu! Have a nice day
Sizitaki mbichi hizi ndiyo jibu sahihi kwa hoja ya huyu ndugu yetu!
 
Back
Top Bottom