DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,101
Amenisaidia kwa kweli. Mwanzo sikuwa naionaMsaidie mwenzio aone picha.
Amenisaidia kwa kweli. Mwanzo sikuwa naionaMsaidie mwenzio aone picha.
Vizuri.Amenisaidia kwa kweli. Mwanzo sikuwa naiona
Wengi hawaioni picha hii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntieeee hatimaye kaona bwana
Hata avatar yako nilikuwa siioni.Vizuri.
Hahahahahahaha haha haha nataka nikione tu....aweke kwa niaba ya wengine piaKwani unataka chumba cha kupanga?
[emoji23][emoji23]
CHUMBA KIZURI, KIPO ENEO TULIVU, KONA YA KUINGIA TEGETA 'A'.
KAMA UNAHITAJI, TUWASILIANE KWA 0654308809.
KARIBU.
Hii ni XXLKizuri kweli
Picha Tegeta 'A' room.Ukisikia mambo ni taiti ndo ivi yaani chumba kinatafuta mpangaji na sio mpangaji anatafuta chumba.. .! Tutanyooka tu mwaka huu