Chumba kinapangishwa 40,000/=

Chumba kinapangishwa 40,000/=

mculture3

Senior Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
126
Reaction score
166
CHUMBA KIZURI, KIPO ENEO TULIVU, KONA YA KUINGIA TEGETA 'A'.
KAMA UNAHITAJI, TUWASILIANE KWA 0654308809.
KARIBU.
 
Ebu zoom utaona picha mkuu wangu
Hakika.
Nimekiona baada ya kutumia jicho la 3.
Sijaipenda raki yake aliyoipaka hadi usawa wa madirishani. Imo kwenye jezi ya timu nisiyoipenda.

Choo cha nje na kipo mbali. Nikitoka hadi nirudi usingizi kwishney.

Asante mkuu kwa ushauri wako
 
Msaidie mwenzio aone picha.
Hakika.
Nimekiona baada ya kutumia jicho la 3.
Sijaipenda raki yake aliyoipaka hadi usawa wa madirishani. Imo kwenye jezi ya timu nisiyoipenda.

Choo cha nje na kipo mbali. Nikitoka hadi nirudi usingizi kwishney.

Asante mkuu kwa ushauri wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntieeee hatimaye kaona bwana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntieeee hatimaye kaona bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom