wao watakata,na wao watakatwa!!!Sio kweli. Pichani naweza kuwaona Gharib Bilal, Mizengo Pinda na Mwigulu Nchemba... Hawa si ndo watangaza nia wenyewe? haaaaaaa
wao watakata,na wao watakatwa!!!
sio kweli. Pichani naweza kuwaona gharib bilal, mizengo pinda na mwigulu nchemba... Hawa si ndo watangaza nia wenyewe? Haaaaaaa
Hiyo Picha ni ya mwaka 2012 kikao cha kamati kuu ya CCM kilifanyika Dar, tena Ikulu. Hiyo kitu ilileta maneno sana, kwani watu walihoji iweje vikao cha CCM vifanyike Ikulu?
leo raisi anaingia bungeni kuhutubia wabunge wanaimba CCM CCM CCM CCM...... sijui tunakoelekea, hadi bunge ni mali ya ccmmtoa post atakuwa bavicha kama fisi anayesubiri mkono udondoke aokote babu bunduki nasikia kakataliwa kugombea cdm cause kuna mchaga olginal katokea