Best member of the year goes to Joseverest alooo uko panctual braza...Oa tu mkuu uondokane na tabu zote hizo
Hahahaha kawaida tu mkuuBest member of the year goes to Joseverest alooo uko panctual braza...
Popcorn generation,shame unakuja kulalamika jf kisa raha za wenzako?Mimi ni mwanaume ambaye nimekodi chumba sehemu x na nipo single cha kushangaza uck nikilala nasikia mwanamke analia chumba chumba kila baada ya ck kadhaa huku sauti ya kitanda kama kinavunjika ambapo kwangu ni kero kero yan cku hizo zkifka silali vzr kwa sababu ya makelele nifanyeje aisee..mbona huo ugomvi haushi kila wiki nimechoka sasa.
Hilo nalo jibuFunga sound proof
Haha nilishazoea sa ivi kila ck kwichi kwichi kwacha kwachaHamaaa
Punga ndio nin mkuuutakuwa punga ww
Unanichana auWewe jamaa nahis unatafuta wanaume wa kukufata huko inbox kwanza unakama miez miwili tu humu then unaleta mambo ya kish--oga sho--ga hapa
Kwanini kwanza uweke picha ya demu wakat wewe ni mwanaume
Nilishachukua na mimiDawa ya moto ni moto
Ndio hivo mkuuwe inakuhusu nini hyo sauti ?? Tafuta na ww wa kwako washindane kulia
Kumbe!Usichukue ushauri huu siku hizi watu wanasindano zao zimejazwa maji ya betri.
Ndio novemba kny pepa ndgForm four students katika ubora wao