Chuma kilichoinyoosha CHADEMA mpaka ikapoteana.

Chuma kilichoinyoosha CHADEMA mpaka ikapoteana.

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Happy birthday mamy .
Nakuelewa sana mama Samia.
Waliotaka kuufanya uongozi wako kama punching bag wameparaganyika. Hawaamini macho yao .
Awe NABII, sheikh au mchawi yeyote atakayeinua kinywa chake kwa uovu juu yake amekwisha.
Sitanii niko serious.
Jiwe alizingua sana nikamwomba Mungu akamvuna .
Rais Samia yuko vizuri, ninamwekea ulinzi imara.
Matabiri yenu yote ya hovyo hayatampata, kuna neema imemzunguka.
Wote mnaomtakia mabaya Rais Samia tutashuhudia mabaya yenu mchana kweupe.
Uishi maisha ya furaha na amani. Uishi umri aliokupa Mungu, maadui zako wote watakutangulia kwa Mungu.
1769497055678.jpg
 
hehe

swali tu nauliza mbona miti anapandia Tunguu? chadema walipanda huko Nkasi wakatimuliwa au kuna miti na MITI
 
Si hivyo tu, anaweza kukifuta kabisa kwenye dadtari la msajili wa vyama vya siasa. Ni bora akafanya hivyo ili ijulikane hakuna chama cha upinzani, kilichopo ni chama kimoja tu chenye kufanya siasa zake kitakavyo bila kupingwa
 
Back
Top Bottom