Chukua tahadhari unapojiunga na mitandao ya kijamii

dah! 2tafanya nini bishanga na ndo imeshakua hyo bt me nahc labda hao wa kwako uwanyang'anye cmu na hata c0mputer wactumie. Ila mtihani kuwazuia mana internate cafe zmejaa tele.... Chamcng na mtoto mwenyewe nao wajichunge...
 
duh, yaani mtoto wa kiume sasa hivi ni pasua kichwa.

Kuna kijana hapo anajitambulisha anafanya kazi VODACOM..ni mtanashati, ukimwona ni kama "Mwanaume" vile lakini si ridhiki hata kidogo. Wazazi tuna kazi kubwa na malezi ya vijana wetu.
 
ishantokea mara kibao,hata hao wanajiita men club of tanzania,kiukweli niliwaadd,letaron nikawagundua nikawablock! Wakenya na waganda ndo usiseme wanaomba paka mwaliko wakutembelewa.
 
ishantokea mara kibao,hata hao wanajiita men club of tanzania,kiukweli niliwaadd,letaron nikawagundua nikawablock! Wakenya na waganda ndo usiseme wanaomba paka mwaliko wakutembelewa.

Hawa wana Me/Ke hawana aibu mkuu, wapo wazi kama wavuta bhangi..
 
hillo kundi mbona kuna watu nawafahamu jamani? au wapo tu hawajui kinachoendela?na wanafimly kabisa?kitenge naye mtasema ni member?
 
dunia imeisha nahisi gomora na sodoma imeshawasili!

Tulishapita Sodoma na gomola kitambo! Sa iv sjui 2po wapi, coz kpnd hcho wao walkua wakfanya ufilauni wa ngono chafu wala wao walkua hawaui albino km ilvo bongo kwa sasa! 2po jehanum full yan.
 
Tulishapita Sodoma na gomola kitambo! Sa iv sjui 2po wapi, coz kpnd hcho wao walkua wakfanya ufilauni wa ngono chafu wala wao walkua hawaui albino km ilvo bongo kwa sasa! 2po jehanum full yan.

evolutionofman.jpg

gpi0036l.jpg

FROM
Homo habilis = Homo erectus= Homo sapiens = Homo Sexual ???

Back
Top Bottom