Utapogundua mapema dalili za ushoga kwa mtoto wako, utachukua hatua gani?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Je, mtu huzaliwa na nature ya ushoga au ushoga ni matokeo ya tabia ya kujifunza?

Tuseme mwanao, wakike au wakiume, katika umri mdogo wa miaka 8 -14, inatokea wewe kumgundua kuwa ana dalili za kuwa attracted na wenzake wa jinsia kama yake au kama ni mvulana anakuwa na mienendo (anavyo pose, anavyo act, anavyo oongea) kama ya kike.

Je utachukua hatua gani kama mzazi ili kukabiliana na hio hali ya mwanao ambayo haukuetegemea.

Karibuni.
 
Hakuna anayezaliwa akiwa shoga. Watu hujifunza,huiga Kwa Wengine. Ni kama mwingine ni addict wa betting, mwingine Playstation, mwingine Uasherati (Uzinzi), mwingine boxing, nk. Kila mtu anaweza kubadilika akipenda. Mtu anayesema alizaliwa shoga na hawezi kubadilika, ni kama mtu mwenye hasira kudai yeye hawezi kubadilika. Mtu mwenye utashi ana uwezo wa kucontrol emotions zake . Si Kila akipandwa na hasira ni kupiga watu,no. Je ukivutiwa na mwanamke lazima uzini naye? No. Una control emotions hizo.
 
Mkuu, mtoto hizo tabia lazima anaiga mahali, hizo kuongea na kukaa lazima kuna mahali ameiga,

Mchunguze, pia kaa nae chini umuelekeze vizuri, madhara ya anachotaka kufanya
Alafu umeongea ukweli mkuu watoto wana nasa Mambo haraka sana sana sana kuna familia baba mama na watoto wamepanga chumba kimoja wanachofanya baba na Mama watoto wanakiona kinachofuata ngoja nitulie kwanza maana watoto wana-copy na ku-paste
 
Hakuna anayezaliwa akiwa shoga. Watu hujifunza,huiga Kwa Wengine. Ni kama mwingine ni addict wa betting, mwingine Playstation, mwingine Uasherati (Uzinzi), mwingine boxing, nk. Kila mtu anaweza kubadilika akipenda. Mtu anayesema alizaliwa shoga na hawezi kubadilika, ni kama mtu mwenye hasira kudai yeye hawezi kubadilika. Mtu mwenye utashi ana uwezo wa kucontrol emotions zake . Si Kila akipandwa na hasira ni kupiga watu,no. Je ukivutiwa na mwanamke lazima uzini naye? No. Una control emotions hizo.
Uko vizuri kichwani!Nimekukubali!
 
Umpeleke hospital apewe dawa za kubalance homoni
2. Sitamfanya agunde kama ana mapungufu hayo
3. Mada zinazohusu ushoga zitakata ktk familia ili asiwaze kabisa jambo hilo.
4. Atasoma shule mchanganyiko, na ni day school.
5. Mada zinazohusu umuhimu wa mwanamke, utamu wa kumtia mwanamke, umuhimu wa kuwa ktk mahusiano na mwanamke ndio hasa nitazungumza.
6. Mahaba kwa mke wangu yataongezeka kwa uwazi ili naye atamani
7. Nitatafuta house girl mjanja mjanja, na ikiwezekana nitampanga wife aweke mazingira ya house girl kutoka kimapenzi na kijana wangu
 
Back
Top Bottom