Chukua mkopo kama hutaki tuachane

Chukua mkopo kama hutaki tuachane

Personal siwezi kumzimia Mwanamke kwa sababu za kiuchumi, sijakulia hivyo na sijawahi for sure kufadhiriwa na Mwanamke hata kama ananizidi kipato hawezi kulijuwa hilo na ataamini siku zote mimi namzidi kipato.

Hayo ndio maisha niliyochaguwa kuishi, I value woman dignity regardless her background or family wealthy. Hayo mimi hayanihusu.
i know you bro ! hata mimi sijawai kufikiria kumpenda mtu kwa ajili ya hela zake! ila kuna baadhi ya binadamu wenzetu wanathamini vitu!
si unaona huyu eti wakope gari ..kwani upendo wao utaendeshwa na gari au vipi
 
Loo!! Mbona anatumia nguvu sana huyo kwani lazima? No ya siri yangu ifanye nin kwa demu ambaye hata hajaolewa?? Huyo mwizi shenzi zake? Kaona hapendwi anataka kuchukua chake mapema lakini sio kwa staili hiyo naona ameanza wizi sasa hivi hajakubuhu yani kashindwa kumueka kwe mstari huyo kaka mpaka atoe mwenyewe hiyo no. Yeye anatumia nguvu nyooo na kama huyo kaka ametoa basi amempa mtaji na njia nyeupeee ya kusepa. Lait ngekuwa huyo mwanaume mbuuuraa angeshachapa lapa kitambo... Mmxiiuuu akajifnze wizi wa kimataifa sio huo wa kitoto
 
una akili kweli wewe? kinachokufanya ubishe ni nini? kama wewe haupo hivo wengine wanafanya ..wala sio kwangu tu .mbona wadada kibao mjini hapa wamelizwa na wanaume ? au unajifanya hujawai kuona? be real mkuu !

Akili ninazo za kunisaidia kuendesha maisha yangu na kuwasaidia watu wa karibu yangu. Siyo kwamba napinga dada yangu, lakini inaniwia ngumu kuamini hicho usemacho. Anyaway, yawezekana huu uhumu wamaisha unafanya wanaume kuwa kama mabinti. Kama yupo wa hivyo, ni wakuhurumia sana, kwani sku akikosa wa binti wa kumlea, atageukia upande wa pili. Vijana wakiume, tufanye kazi, achana wa fikra za kuja kulelewa. Hiki kinachoongelewa hapa ni keshfa kubwa kwa kijana wa kiume.
 
wazo la kuchukua mkopo sio baya ,bt hzo sababu hapo kati mhh kUna wAlaKini kw kwel,js bcz u slpn wt ha ndo umpe password kwn anajiuza?ht km watu mpo kwny rltnship au ndoa sm thngs wl always remain personal
 
kama unazo akili basi usiwe mbishi maana nina uhakika na nilisemalo hata ukitaka naweza kukupa jina lake maana alishachukua hela za mdada mwingine mi nilikuja kupata story later.
 
wazo la kuchukua mkopo sio baya ,bt hzo sababu hapo kati mhh kUna wAlaKini kw kwel,js bcz u slpn wt ha ndo umpe password kwn anajiuza?ht km watu mpo kwny rltnship au ndoa sm thngs wl always remain personal

Sasa kwa mimi ambaye sipo kwenye payroll ya taasisi yoyote na pia sikopesheki bank utanishauri nini?
 
bro matola kuna jamaa alishawai kuniambia eti nikope tujenge nyumba ndo tufunge ndoa! bahati nzuri mi sikuwa nataka ndoa na yeye mi nilikuwa nae tu kupoteza muda na stress zangu kipindi nimepigwa chini!
kuna watu majambazi sana nilimpiga chini baada ya kumchuna vya kutosha maana alitaka kunitapeli.nikamwambia anikopeshe hela flani hivi aliponipa nikasepa ------- sana yule ..ndo maana unaonaga nipo harsh towards men .yaani kupata mtu anaekupenda bila kitu bwana .... sidhani ..ukipendwa ujue mtu kaona fursa!
haya maneno ni yako ama nukuu??
 
One day utampata ambae hatakuuliza mshahara wako,atajenga yeye na atakupa mtaji wa biashara kisha atakuambia hiyo ni kwa ajili yako mama tu mi jukumu langu kukutunza.

MWANAKA hny hewaaa na hapo unadunduliza unchukulie mkoko mpenzio nitembelee makali.o na sijawahi kukuomba.
Hivi ningekuwa nakuambia nataka passwords,mkoko ungenipa kweli?

hilo tu ?!!
Mbona ushapata my dear shaka ondoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom