high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,950
- 2,190
kuna jamaa mmoja hivi tupo naye office moja sasa jana demu wake kamwambia achukue mkopo wa milioni 20 ili wanunue gari na vitu vya ndani ila demu kamwambia amfundishe namba ya siri kwanza ili wakiingiza tu mkopo ajulishwe na demu wake kwa sababu yeye yupo bize na kazi yake
alivyoniambia mimi niliishia kucheka tu maana naona kama vile anataka kumwibia mshikaji ungekuwa ndio wewe utampa PIN Namba ya account yako kisa awe anaangalia salio kama wameeingiza wakati ni demu tu hata kwenu hawamjui na anasema usipofanya hivyo tuachane kabisa mwanaume huna shukrani tunafanya mapenzi nakupa yote kila kona wachezea lakini hutaki kunipa namba za siri za accounti zako
kama wewe utafanyaje