Chukua hii...

Chukua hii...

Ila wanaume kwenye mapenzi ni wanafki, anaweza kuchat na wewe, mpaka hata saa 8 ya usiku lakini akawa hakupendi kabisa na hana hata malengo na wewe..akakupigia mara kwa mara...ukahisi kabisa ananipenda kumbe deep down there is no, something like dat...

Dah! Ni hatari sana.
 
Ukweli mchungu huo.[emoji22]
 
Ila wanaume kwenye mapenzi ni wanafki, anaweza kuchat na wewe, mpaka hata saa 8 ya usiku lakini akawa hakupendi kabisa na hana hata malengo na wewe..akakupigia mara kwa mara...ukahisi kabisa ananipenda kumbe deep down there is no, something like dat...

Dah! Ni hatari sana.
Mwanamke nae anaweza hivohivo...
Bisha....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] only Africa tyuuh, ulaya hawaana hii.
Inaweza leta matatizo.....nilitaka kumlipia mhuni kwenye kibanda cha mpira akalalamika ni ushoga, akakubali kishingoupande.....
 
Hahaha umetaja kitabu kikubwa sana...kimenisaidia sana kuelewa jinsi hizi nature zetu zilivyo...

formula ipo na sio mapenzi tu kila kitu hapa duniani kina formula yake ila binadamu tunakawaida ya kutoka kwenye utaratibu na mara nyingi tunaishia kuharibu..

Mkuu kama umesoma hicho kitabu utaelewa nini namaanisha hapa
Nitumie document yake (PDF) Sijawahi kukisoma naskia watu wanakiongelea tu.
 
Sijawahi na Wala sitowahi kuwaamini wanawake,anytime anakugeuka
 
Wanawake Bwana Nina shangazi yangu ajawahi kubali kakosea lazima atafute wa kumtupia lawama kama kosautaskia "lakini sinilikuambiaga ukakataa" hata kama ni uwongo.
 
Back
Top Bottom