Chukua Hii: Ishu ya Jezi za Simba Kuchelewa

Acha kupotosha kwa mafikirio yako

Maana ya mkataba ni nini? Terms of contract kati ya vunja bei na SSC zinasomaje?

Maswala ya mikataba siyo ya kukurupuka kama unavyoaminisha umma
Mkuu, hawa wajinga ndio wanaofanya wajibiwe kwa dharau na kejeli kwasababu ya huu utopolo wao, halafu utopolo mwenzao mmoja anapenda sana kuwatetea eti wanaonewa.
 
Mnapoteza muda mwingi kutunga ujinga kama huu sioni kwanini msitukanwe "kistaarabu"

Kwa huu ujinga wenu mtalialia sana.
 
Maswala ya mkataba ambao hela imehusika hayanaga upumbavu na taarabu unazoleta hapa, shida ni kwamba mambo ya Simba sc kwasasa ni confidential mno kiasi ambacho hamkutarajia.

Sasahivi kila outsider hajui lolote kuhusu jezi wala mpnago wake ndiomaana kila mtu anajaribu ku-formulate assumptions za kibyutibyuti.
Sasa msemaji kasema zimekwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wewe mbugila usiejua chochote unakuja na mambo ya usiri? Usiri gani walionao hao jamaa zako? Suala la jezi lina cha usiri
 
Sasa msemaji kasema zimekwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wewe mbugila usiejua chochote unakuja na mambo ya usiri? Usiri gani walionao hao jamaa zako? Suala la jezi lina cha usiri
Kwahiyo hizo poroja za kudai kwamba Vunjabei haelewani na CEO, mara CEO alienda kwa Sheria Ngowi..mara oooh Boss akampigia CEO kumpa amri akubali design ya Fred, ndio hizo changamoto alizosema msemaji?

Kuliko wewe, ni bora lingezaliwa kreti la bia watu wakanywa na kusahau.
 
Taarifa ya uhakika ni kwamba Jezi zimeshafika na tayari watu wa Customs washaruhusu mzigo baada ya malipo muhimu.

Mzigo haujatoka Ulaya, Mzigo hauna tofauti sana na jezi wanazovaa sasa hivi. Kwa wataalam wa fasheni wameenda mbali na kudai soko la jezi za msimu uliopita litakuwa kubwa sana.
 
Kwa kifupi HATUTAKI KUTOA MAJENZI MABAYA KAMA YENU.
Mkuu jezi sio mitihani ya mid term kwamba unaweza tunga leo na leo leo ukachapa na wanafunzi kesho wakaifanya.
JEZI ni process ya kudesign, order, kuzizalisha na kuzifikisha sokoni (logistic). Jezi za timu huandaliwa miezi 2 hadi mi3 nyuma ila kuweza kupata muda wa kuzizalisha.

Jezi za Simba ziko tayari, changamoto unayoiona ni namna gani mashabiki watazipokea maana mna expectation za jezi kuwa nzuri wakati mnajua wazi, matangazo ni mengi, mkataba wa Jezi ni Finyu na hata aliyepewa mkataba ni mgeni kwenye hiyi industry ya kudesign na kusambaza sports wear.
 
Taarifa ya uhakika ni kwamba Jezi zimeshafika na tayari watu wa Customs washaruhusu mzigo baada ya malipo muhimu.

Mzigo haujatoka Ulaya, Mzigo hauna tofauti sana na jezi wanazovaa sasa hivi. Kwa wataalam wa fasheni wameenda mbali na kudai soko la jezi za msimu uliopita litakuwa kubwa sana.
Umetoa wapi hii habari?
 
Back
Top Bottom