Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo.
Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni.
Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo lipotayari kufanya lolote kwa ajili ya Cheo.
Kwa sasa Linatumia Nafasi yake, kumuumiza Lissu yaan kulipa Kisasi.
Linamwogopa sana Mh Lissu !!