hakika nduguDunia ya sasa hasa nchi za kiafrika ukiangalia kwa jicho la tatu tupo km wildlife mwenye nguvu ndie ana survive
Sasa we jifanye mwanafunzi wa Yesu
Watakopa pesa hawatarudisha
Watamuita wife shem then watamtomba😅
Choose your circle wisely and suspect each other
Hapana sinaga hyo tabia ya kuleaHela ilikutoka si eti ?
Haha ndege huwezi kunizaa mkuu, maana mzeewangu kazaliwa kabla ya uhuru
Mdg wangu unakosea sana 😂Haha kwamba we ni bruh baby boomers pekee ndio wanastahili salamu yangu
Katoto hako bado
Huyu ukishindwa kumzaa kwa umri wako, basssss!Katoto hako bado
Mimi nilizaliwa kipindi cha azimio la ArushaHaha ndege huwezi kunizaa mkuu, maana mzeewangu kazaliwa kabla ya uhuru
We kumbe dogo sana bado 😀 nikajua kipindi cha vita vya majimaji na ujiujiMimi nilizaliwa kipindi cha azimio la Arusha
Miaka ya 60's unaniambia Mimi mdogo?We kumbe dogo sana bado 😀 nikajua kipindi cha vita vya majimaji na ujiuji
Mshana Jr njiwa Salary Slip na wengineoMiaka ya 60's unaniambia Mimi mdogo?
Hebu mtafute memba yeyote wa hapa JF aliyezaliwa miaka ile kama utampata.
Hao bado ni vijana tu kwangu.
kama sio chai basi umekula age mzee!!!!! ila najua hii ni chai we mtoto wa 2000Hao bado ni vijana tu kwangu.
Mkuu nikudanganye siku ya pasaka kweli?kama sio chai basi umekula age mzee!!!!! ila najua hii ni chai we mtoto wa 2000
😀
Haha sawa mkuu shikamooMkuu nikudanganye siku ya pasaka kweli?
Marahaba, hujambo?Haha sawa mkuu shikamoo
Haha sijambo mzeeMarahaba, hujambo?
Haya ndo mambo sasa.Haha sijambo mzee