ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,077
- 40,321
sweet mom 😍Mtu akiangalia tu id au mwandiko wako anachukia? Hahaha aloooh! 👌🏽
Mkuu mpka kuanzisha hii mada nimekaa ni kawaza haya yote yanatokana na nini ?Wivu mama wivuuu!!
Roho chafu hizo za kukemea haswaa!! Ngoja nijiandae niende kuzivunja hizi roho kwenye mkesha⚔️😃sweet mom 😍
Kwanini chuki iwe kali kiasi hicho au ni maroho yanafaa kukemewa?
Mtu hawezi kukuchukia kama humzidi kitu! Ukiona unachukiwa ujue kuna namna unatesa watu kisaikolojia 😅Mkuu mpka kuanzisha hii mada nimekaa ni kawaza haya yote yanatokana na nini ?
Inakuaje unamchukia mtu ambaye kumchukia kwako hakukuongezei chochote na ni pia usipomchukia
Hupungukiwi chochote?
Umewahi kusikia mtu akisema mie mtu flani simpendi akiulizwa utasikia basi tu simpendi😳
Kila la kheri darlingRoho chafu hizo za kukemea haswaa!! Ngoja nijiandae niende kuzivunja hizi roho kwenye mkesha⚔️😃
Kuna dawa ya chukiMtu hawezi kukuchukia kama humzidi kitu! Ukiona unachukiwa ujue kuna namna unatesa watu kisaikolojia 😅
Chuki ni kutocheka na wowote.Wivu mama wivuuu!!
Asante sana kaka ni heshima kwangu kuitikia wito 🙏Nimeitikia Wito Mkuu.
Moja kwa Moja nijitose kwenye mjadala
Chuki si kitu kinachozaliwa tu ghafla ndani ya mtu bila sababu. Mara nyingi ni mchanganyiko wa mambo ya ndani ya nafsi na mazingira ya nje.
Kwanza, chuki huanza kama hisia ndogo kama vile kuumizwa, kukataliwa, au kudharauliwa. Kadri mtu anavyoshindwa kushughulikia hisia hizo, zinakua na kugeuka kuwa chuki. Hapa tunaona kuwa chuki mara nyingi ni jeraha ambalo halijapona.
Pili, kuna suala la wivu na kulinganisha maisha. Mtu anaweza kukuchukia si kwa sababu umemkosea, bali kwa sababu una kitu ambacho yeye anatamani au anahisi hakistahili kukosa. Hii inatokana na kutoridhika na maisha yake mwenyewe.
Tatu, mazingira na malezi yana nafasi kubwa. Mtu aliyekulia kwenye mazingira ya hasira, lawama au migogoro, anaweza kujenga tabia ya kuona wengine kama maadui hata bila sababu ya moja kwa moja.
Nne, kuna hofu ya ndani na kujiona duni(insecurity). Watu wengine wanachukia kwa sababu wanahisi kutishiwa iwe ni uwezo wako, mafanikio yako, au hata uwepo wako tu.Na kuhusu mtu kukuchukia bila kukujua vizuri mara nyingi hapo huwa si wewe, bali ni taswira aliyojijengea kichwani mwake. Anakuchukia kutokana na fikra zake, si uhalisia wako.
Na mwisho kabisa nikimalizia, chuki inaweza kutokana na mitazamo na dhana potofu zilizopo ndani ya Jamii. Mfano Mlokole radical au muislam radical anaweza kuwa na chuki na mtu wa dini nyingine.
Dawa ni kutowapa nafasi! Mind ur business, itafika mahala wataona chuki zao hazionekani watafanya mambo yao pia! Simple!Kuna dawa ya chuki
Hawa wa tu wenye chuki kupindukia wakapewa wapate nafuu kama sio kupona kabisa🙌
Kusema chuki bila sababu yoyote inawezekana je?Kwangu mimi chuki naweza Kuitafsiri kama kutokupenda kitu kuliko pitiliza
Unajua unaweza usimpende mtu ila usimchukie ila pale kutokumpenda kukipitiliza ndiyo unajenga chuki
Pia chuki inaweza kuletwa na sababu au bila sababu ikatokea tu
Asante maa😍Dawa ni kutowapa nafasi! Mind ur business, itafika mahala wataona chuki zao hazionekani watafanya mambo yao pia! Simple!