Zneba
Senior Member
- May 12, 2010
- 192
- 7
nao hao walikuwa warangi?dunia imeisha kaka,tumrudie muumba,maana nshawahi ona baba anamlilia wivu binti mpaka akashindwa muozesha na akagoma kuzungumza na mkwe mpaka mwanaume akaamua kumuacha mwanae,kwa mara ya kwanza kuingia kwenye nyumba ya mwanae ni kuja chukua mazagazaga ya mwanae akiwa na furaha ya ajabu.