Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,025
Habari za asubuhi wana jamvi,
baada ya kuvumilia kwa muda mrefu nimeona niweke jambo hili mbele yenu, kwa baadhi itakua funzo lakini pia kwa wengine itakua wamepata pa kuanzia. Naliweka hili kwa maslahi ya jamii na halina ushabiki wowote ila ni habari ya kweli iliyotokea juzi jumamosi Mbezi- Dar es salaam.
Ilikua majira ya saa tatu na kidogo hivi, nikiwa na rafiki zangu kwenye bar moja nzuri yenye pia Guest ( Hotel). Nikiwa namalizia maji yangu iliniondoke, alikuja Mama Mmoja ambaye kama dakika 45 zilizopita alikuwa amekaa na watu wengine watatu ( Mzee mmoja wa makamo, Binti wa about early twenties, na kijana naye mdogo lakini mkubwa kwa yule binti pamoja na huyu mama sasa) mwanzoni tuliwaona kama ilikua familia flani hivi, baada ya muda ndipo yule Mama aliondoka na kijana yule, akimuacha Yule Mzee na binti palepale, cha kushangaza ni baada ya dk 45 hivi huyu Mama alirudi huku akuulizia mmoja wa wafanyakazi wa pale ni wapi walipo Baba na yule binti?
Bila hiyana, akamjibu walichukua chumba, wapo chumba kile...akionyeshea kidole upande ulipo vyumba, mara yule Mama akataharuki, ndo nikapata mvuto wa kufuatilia, akiwa na yule mhudumu, walifika hadi kwenye chumba na kugonga, mara mlango ulipofunguliwa kumbe ni Baba amelala na binti yake wanakula tunda.
Sasa, Mama akazidi ku-panic na kuanza kubwatuka, kuwa muda akiondoka pale alipelekwa nyumbani na kijana wake wa kumzaa baada ya baba kudai kua, mama akapumzike amechoka, kufika nuymbani katika hali ya ulevi aliyokuwa nayo mama, alijilaza na ndipo kijana wake huyu wa kumzaa alitumia fursa hiyo kumwingilia kimwili mama yake, Mama huyu aliendelea kulalama kuwa alitoa kila aina ya ufundi akijua yuko na baba kumbe na mwanae, baada ya kupata fahamu katikati ya mechi ndo alimfurumusha yule kijana mama akarudi kwenda kumsemea kwa baba yake, just to find baba naye anamfaidi binti yake.
Katikati ya vilio vya mama huyu ndipo kijana alipofika pale, bila kuulizwa, bila wasiwasi akasema Mama nimefanya hivyo kwa sababu Baba amekua akifanya mchezo mchafu na dadaangu siku nyingi. Baba alitaka alete vurugu lakini mtu mmoja, aidha ni Meneja au ndio mwenye hotel ile aliwaamuru wateja wengine waondoke yaano warudi kwenye nafasi zao na walinzi waliwaondoa pale.
Jamani, ndugu zangu, naombeni sana, tuwaheshimu wazazi lakini na wazazi nao wawaheshimu watoto wao, sikutaka kuiweka hadharani but maybe It will save some lives and save the children of the world.
Nawasilisha