Chubwi...!

Hodi hodi jamani jamvini naingiasalam natoa kwa wote mliotanguliaJF ndio makazi mwanajamii kwangu mwana kiwiaSihitaji kuazima jamvi kwani sina wa kumliliaNinachotaka ni mada za moto kuchangia
...............Shasa Courtney......karibu sana,......................,elewa pia humu kuna akina richmond,dowans na hata symbion,..................achilia majenereta ambayo yapo kila mahali,.................fahamu pia kuna kina solar au umeme jua,......hivyo hakika ukitumia nafasi na jukwaa hili vizuri utafaidika sana,.............................,hawajambo uko utokapo?..............................,ngoja ukaribishwe japo na IPTL,...........................SONGAS naye yupo subiria kidogo anakuja...........................,kabla huja changia humu JF jitahidi kwanza kuchangia ktk gridi ya taifa,....................karibu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…