CarlesSerra
Senior Member
- Aug 21, 2012
- 105
- 38
Jamani mwenye maujuzi na hii kitu inaitwa Chromebook tablet....kiufupi ni kwamba niliomba rafiki aliyeko ng'ambo anitumie lapto kwa matumizi yangu ya kawaida sasa yeye kanitumia Chromebook na nexus 7 kutumia ndio hivyooooo kama vipi nivipige bei ninunue laptop ya kawaida
Asanteni
Asanteni