CHRISTOPHER MWAKASEGE Washington DC

Hivi Kakobe aliendaga wapi? Simsikii wala kumuona luningani these days.
 
Buji Buji huyo jamaa anakuja kufanya biashara USA, NENO LA MUNGU NI COVER tuu,Wakati fulani alikuja Stockhom Sweden akakusanya wabongo kibao kwa cover hiyo hiyo.Mwishowe akachukua contact mbali mbali na kumkaribisha mtu mmoja mmoja kujadili namna gani angeweza kumtumia katika biashara yake.:confused2:
 
Anauza Biblia?
Au ana biashara gani mkuu? Naomba utujuze
 
una mapepo wachafu wewe, si bure
 
[h=1]MAELEZO ZAIDI: Wasiliana na /Reading Lillian 07846700927, Birmingham-07776358464 Jackson Kapama, London 07817479845 Elias Mwema, Milton Keynes, 07787357618, Jane maneno,-Brighton,07950324330 Joyce Jacob. Southampton 07717435287 Sekela Komba
[/h]

Tafadhali tunawaomba kushiriki baraka hizi kwa kuchangia mkutano huu kwa hali na mali
Kwa watakaoguswa kutoa, tunaambatanisha akaunti ya bank
Account Name Association of Tanzanian Christians in Europe (ATCE)
HALIFAX BANK
ACCOUNT NO 00989146
SORT CODE 11-07-47


07944632826./ Rev, Emmanuel Chatawe-Mwenyekiti
07776358464/Jackson Nkwabi (Katibu Mkuu)
KARIBUNI WOTE.
 

kwa huduma yake anapenda awe maarufu kuliko kanisa lake . KKKT angalieni sana
 
"Tena wahubirije, wasipopelekwa ..." Warumi 10:15a

"Ni askari gani aendaye vitani wakati wowote kwa gharama zake mwenyewe?"
1 Wakor 9:7
 
Mawazo ni uhuru wa mtu yeyote,ila vyanzo vyake utofautiana, na hapo ndio utakuta kuna mawazo ya shetani kwa watu wake na mawazo ya Mungu kwa watu wake, mwisho ya yote ni matokeo yataonyesha wewe ni wa nani? Mungu bariki watumishi wako wote.
 
Anauza Biblia?
Au ana biashara gani mkuu? Naomba utujuze

Funguka basi tunasubiri
 
Hakuna muhubiri ninaemkubali kama Mwalimu Mwakasege, hakika anafundisha maandiko yanavyosema/ anatafsiri mtu unaelewa, siyo wengine kutwa kucha wao wanahubiri mtu kuwa tajiri na mambo mengine kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…