Christmas:Mwanamke umuua Mumewe kwa sababu ya chakula cha Christmas.

article

Senior Member
Sep 10, 2016
184
344
Shehere za Christmas hazikumundea vizuri Christiana odo huko Nigeria kwa kudaiwa kumuuwa mumewe kwa kumchoma kisu kutokana na ugomvi uliotokea baada ya mume wake kushindwa kutoa fedha kwa ajili ya kununua chakula cha Christmas, mtandao mmoja huko Nigeria umeripoti. Unaweza kusoma zaidi kupitia link hiyo hapo chini.
Source:Woman kills husband over Christmas food - Punch Newspapers

Article.
 
Back
Top Bottom