BRO LEE JF-Expert Member Dec 25, 2011 830 603 Dec 25, 2015 #3 Hisia zinamwonyesha hilo ni tonge moja tu kwisha kazi
mfilisti JF-Expert Member Sep 24, 2015 3,641 19,275 Dec 25, 2015 Thread starter #4 BRO LEE said: Hisia zinamwonyesha hilo ni tonge moja tu kwisha kazi Click to expand... ha ha ha umetisha mkuu
BRO LEE said: Hisia zinamwonyesha hilo ni tonge moja tu kwisha kazi Click to expand... ha ha ha umetisha mkuu
D Descartes JF-Expert Member Jul 24, 2013 2,765 1,663 Dec 25, 2015 #6 Hapo anakusanya mtaji wa maskini: nguvu zake mwenyewe...
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Dec 25, 2015 #8 Naona bangi ni nyingi kuliko chakula, wataalamu wa lishe hebu tuambieni hii diet.
W wa hapahapa JF-Expert Member Aug 22, 2012 7,455 4,388 Dec 25, 2015 #9 Matumizi ya bangi yakizidi sana, akili upoteza mwelekeo...
Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,097 Dec 25, 2015 #11 Anawasubiri wenzake wamekwenda kunawa mikono.
mfilisti JF-Expert Member Sep 24, 2015 3,641 19,275 Dec 26, 2015 Thread starter #12 Smart911 said: Jamaa anaona hakitoshi. Click to expand... hapo anawaza kua anapiga matonge mawili tu ngoma imekata
Smart911 said: Jamaa anaona hakitoshi. Click to expand... hapo anawaza kua anapiga matonge mawili tu ngoma imekata
mgonjwa JF-Expert Member Dec 2, 2013 514 223 Dec 26, 2015 #13 Alafu anakula sembe baada ya dona kweli hii bhangeee