Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 161
- 297
Kipi umekiandaa kuhusu KRISMASI? NINI Umuhimu wa KRISIMASI MAISHANI MWAKO?
kwa Neema na Baraka za Mungu, mipango na maandalizi mengine yanaendelea vizuri sana,Kipi umekiandaa kuhusu KRISMASI? NINI Umuhimu wa KRISIMASI MAISHANI MWAKO?
Nimeandaa vinguruwe viwili kreti 10 za castle lite, mizinga mikubwa 15 ya konyagi na nauli ya kwenda na kurudi moshi, vingine wataandaa kina Shirima, Lyimo, Mosha, Massawe, Lyatuu na kina Kimario.Kipi umekiandaa kuhusu KRISMASI? NINI Umuhimu wa KRISIMASI MAISHANI MWAKO?