hana hata wowowo la kukalia
We ni wa kiumeni kweli......mbona kule kona baa hamuishi foleni ?
Unasema mkubwa????
Wakati wenzio mjini wote "baby"
Hiv makalio yana umuhimu gan jamani!?na je ambao hawana wana hasara sana au??
asikudanganye mtu dada angu wanaume wote duniani wanapenda mwanamke mwenye good hips na ------ huu uzungu wa mtu kua mwembamba unabaki kwenye tamthilia na mashindano ya urembo tu ndo mana kim kardashian kila akipost picha instagram the whole world watch!!! kama mwanamke huna hivyo vitu hata uwe mzuri vp jua jamaa ako hakufaidi kivile mkiwa bed na its just a matter of time kabla hajatafuta mwenye navyo kujipoza!!!
Sio kweli unaweza kua huna makalio lakin umejazia tu vizuri na una mvuto pia
Basi wanawake wenye ------ wangeolewa wote na wasio nayo wasingeolewaa kabisaa
Pia kuna wanaume hawafagilii makalio makubwa kabisa
Mpango mzima ni k iwe tamu
Makalio yanahitaj usafi wa hali ya juu na wengi wao huwa na maji na harufu mbaya mbaya maana wengi sio wasafi
Ni sawa na wenye maziwa makubwa nao hupendwa tu maana wengine hawavutiwi na madogoo
nilitaka kukuuliza wewe upo kundi gani,ila umeshanijibu.
Vya kichina
M..t..k..o..dili siku hizi..! na ndio maana picha nyingi wanatuonesha makalio..imekua fasheni siku hizi..watu wanatoa ule mtandao wetu pendwa..pesa yako tu..
Ni mpare ndio
Comment za baadhi wanawake hapa zimenichekesha sana..hivi mliomponda hana makalio.mmejitathmini mkajiona mnamzidi? Wekeni picha
Kama wamemzidi makalio ujue sura zao kama pinda au wassira. wanawake wengi kwenye makalio makubwa wana sura nzito!
Kama aunt lulu sura nzitoo,ila nyuma kafungasha balaa
Kama wamemzidi makalio ujue sura zao kama pinda au wassira. wanawake wengi kwenye makalio makubwa wana sura nzito!