Christiano Ronaldo asheherekea kuhamia R.Madrid na Paris Hilton

dogo kajiaibisha sana.itakuwa ushamba wa maisha au ushamba wa kula starehe.ndio maana niliona kuna celebrity mmoja aliulizwa anaonaje ronaldo kuwa na paris hilton siku hile jibu lake lilikuwa " its a sad day for portugual" lol.i think its a sad day for all football fans lol.
 
Mazee ngoja niulize, hivi kuchukua picha za watu wakiwa majumbani kwao si ndio u-stalker wenyewe huo?

BTW, tuache kijana atumie hizo $$$$$ za Madrid na totoz za maana..ndio maisha haya kila mtu atakula kutegemea na urefu wa kamba..
 
Kelele miiingi, huyo Paris akiingia kwenye kumi na nane za wanaume wengi sidhani kama watamuachia lol!!
 
kamdunyua paris?...hahahaha! Paparazi kweli wamechoka. Kakaa hapo nje akisubiri usiku kucha. duh...kazi nyingine bwana.
This line was the funiest: "We're guessing they didn't talk about the journalists in North Korea."
 
Back
Top Bottom