Christian Ronaldo yupo kundi gani hapa??

Christian Ronaldo yupo kundi gani hapa??

Then ile comment ya cr 7 ulipotoka bas maana si kweli
sasa na wewe mkuu unaeza fananisha cheza ya Vidal/Pirlo na Ronaldo,wakati Ronaldo timu ikibanwa Viungo tu anapotea

Ni Sawa umwambie Ronaldo acheze No 6 inawezekana kweli?
 
sasa na wewe mkuu unaeza fananisha cheza ya Vidal/Pirlo na Ronaldo,wakati Ronaldo timu ikibanwa Viungo tu anapotea

Ni Sawa umwambie Ronaldo acheze No 6 inawezekana kweli?
Basi wewe hata hukuangalia mechi ya mwisho wana cheza na wajapan, kiungo ya madrid hata haikua poa ila mwanaume kapiga 3
Shida wewe huangalii mechi na hilo naliona kabsa kwako
 
Uki combine hupati ujinga
Vikiwa separate ni ujinga
Mkuu utajichosha bure tu,kuna ushabiki wa mpira na kuna ushabiki maandazi,naona unaelewesha mwanafunzi ambae anajiongopea kua anajua kuliko mwalimu.
 
Basi wewe hata hukuangalia mechi ya mwisho wana cheza na wajapan, kiungo ya madrid hata haikua poa ila mwanaume kapiga 3
Shida wewe huangalii mechi na hilo naliona kabsa kwako
Ronaldo anajua kujiposition na Magoli ya counter attack ila huwezi kamwe kumfananisha Ronaldo na pirlo au Messi,Ronaldo hana uwezo mkubwa wa kupiga chenga ila ana mbio...Kwa mfano kwenye hiyo picha unafikiria angefit wapi zaid?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom