Christian Ronaldo Huyu Hapa Hadharani

Christian Ronaldo Huyu Hapa Hadharani

Ndo tatzo la pesa zikiwa nyingi katka umri mdogo bila kupasua kichwa ya utafutaji..basi kla kitu unatak ujarbu,mwsho ndo unafkia sehem hadi zisizofaa..
 
Mkuu imekuwa kawaida kwa watu wengi kusingizia Photoshop hasa wanapoumbuka kupitia habari picha. Hizi habari zimesambaa karibu wiki nzima naamini CR7 ameziona. Najiuliza mbona hajakanusha? Alipoambiwa anataka kuhama Madrid akakanusha sasa kwanini hakanushi hizi habari za ushoga?

Akanushe kashanogewa huyo chezea mmorocco ww
 
download.jpg
 
Acha chuki na Man U wewe...... juzi umenikimbiaaaa, kimyaaaa!!!!! Mambo ya Man U yanaingiaje? Man U mashoga ???? Chuki zako kwa Man U peleka hukoooo!!!

Nyie si ndo mnampenda ronaldo team cr7 hahaha
 
Mkuu imekuwa kawaida kwa watu wengi kusingizia Photoshop hasa wanapoumbuka kupitia habari picha. Hizi habari zimesambaa karibu wiki nzima naamini CR7 ameziona. Najiuliza mbona hajakanusha? Alipoambiwa anataka kuhama Madrid akakanusha sasa kwanini hakanushi hizi habari za ushoga?


Picha sio halisi, nimeshapost original yake (angalia hapa https://www.jamiiforums.com/jamii-p...hapa-hadharani-post14817591.html#post14817591). Sioni tatizo Ronaldo kutokanusha hizo habari. Angekuwa na lazima ya kukanusha kila habari inayomhusu angekuwa ana fanya press conference kila siku.


Kujaribu kuonyesha habari sio za kweli haimaanishi kuwa unakubaliana na ushoga. Fact ziko pale pale

1. Hamna quote za Modric wala Marcelo zinazosema kuwa Ronaldo ni shoga na Badr ni mpenzi wake
2. Hamna picha ya kweli inayoonyesha Ronaldo akimbusu mwanaume.
3. Kusafiri kwenda Morroco sio sababu ya kutosha kuonyesha kuwa Ronaldo ni shoga


Kama umeshindwa kuona principal ya kutetea ukweli bila kujali aina ya lawama zenyewe basi.
 
Picha zipi zinaonyesha CR7 analiwa denda...Great thinker unashindwa hata kugundua picha za kutengeneza?...kwenda Moroco kila siku ni kosa?!

Katumia hela za klabu?

Katumia ndege ya mtu?!

Kuweni basi ma great thinker kama forum yenu inavyowatambulisha!

ww naww utakuwa punga ww. Mda wote umekomalia tu photoshop tumekwambia ingia kwenye Daily mail online soma habar. Tatzo unakariri sana
 
Picha sio halisi, nimeshapost original yake (angalia hapa https://www.jamiiforums.com/jamii-p...hapa-hadharani-post14817591.html#post14817591). Sioni tatizo Ronaldo kutokanusha hizo habari. Angekuwa na lazima ya kukanusha kila habari inayomhusu angekuwa ana fanya press conference kila siku.


Kujaribu kuonyesha habari sio za kweli haimaanishi kuwa unakubaliana na ushoga. Fact ziko pale pale

1. Hamna quote za Modric wala Marcelo zinazosema kuwa Ronaldo ni shoga na Badr ni mpenzi wake
2. Hamna picha ya kweli inayoonyesha Ronaldo akimbusu mwanaume.
3. Kusafiri kwenda Morroco sio sababu ya kutosha kuonyesha kuwa Ronaldo ni shoga


Kama umeshindwa kuona principal ya kutetea ukweli bila kujali aina ya lawama zenyewe basi.

Jamaa kila akimaliza morning session lazima apande jet hadi kwa mshkaji then jioni anarudi ili awahi next training session unasema si tatizo?????
Pili naomba ulete na original pics za badir kam beba ronaldo
Tatu naomba uende kwenye verified acc ya badir uone alicho andika
Nne naomba nikuulize wewe ni man utd fan?
 
ww naww utakuwa punga ww. Mda wote umekomalia tu photoshop tumekwambia ingia kwenye Daily mail online soma habar. Tatzo unakariri sana

Wewe nae wale wale....alafu mimi mtu kuwa shoga hainiathiri chochote...mimi kuwa shoga pia haikuathir chochote..
 
humu wapashkuna mmejaa sana na habari za vijiweni
 
Jamaa kila akimaliza morning session lazima apande jet hadi kwa mshkaji then jioni anarudi ili awahi next training session unasema si tatizo?????
Pili naomba ulete na original pics za badir kam beba ronaldo
Tatu naomba uende kwenye verified acc ya badir uone alicho andika
Nne naomba nikuulize wewe ni man utd fan?

Umeshinda!


attachment.php
 

Attachments

  • you win.jpg
    you win.jpg
    49.8 KB · Views: 1,053
Wewe nae wale wale....alafu mimi mtu kuwa shoga hainiathiri chochote...mimi kuwa shoga pia haikuathir chochote..


Homophobia and irrationality is a dangerous cocktail. Achana nao none of them are interested in reasoning today or ever.
 
Maisha ya ustaa wa siku hizi yana mauza mauza mengi sana wakuu

Watu wanataka kua media icons wao tu kila siku waweze kua top stories za magazeti na wapige hela kwenye mishe zao

Watoto wa panya huku tunakaa kuwajadili nyuma ya keybord yeye yupo zake bank anadeposit pesa ndefu

Christian Ronaldo ana team yake kubwa ya masoko kwa ajili ya kushape brand yake kila siku iwe negative au positive wapige hela kwa nini wakae kimya nina uhakika asilimia nyingi sana wanahusika

Jamaa angekua shoga hii story ingeshaleak siku nyingi club zote alizopita wangeshajua kaamua kuja na style ya ushoga kwa sasa kwasababu lazima dunia ishtuke na hajaamua kuliongelea pia ili mzidi kuuwana huku mitaani

Kuna marketing theory inasema
"No matter how worst strategic taken we should occasionally concentrate at the results"
 
Back
Top Bottom