Christian Ronaldo Huyu Hapa Hadharani

Christian Ronaldo Huyu Hapa Hadharani

Mnauhakika picha zenyewe zimepigwa miezi 3 nyuma Leo hii mnamuita shoga aaaaaa siyo kweli jaribuni kuchunguza usitaamke tu kumuita mtu shoga labda wamedit

Home | Daily Mail Online Pitia hii Dail mail, Mwarabu katumia Muda mrefu kumzoea kumbe ana nia yake Ovu na ni yeye alietuma Picha kwny Account yake ya Instagram na kuonesha kuwa Kamuoa Ronaldo ili kuweka hadharani uhusiano wao. Marcelo na Modric wa Real Madrid wanakiri kujua uhusiano huo wa Karibu kati ya Mastaa hao na wanaamini Christiano karubuniwa na bondia huyu wa Kiarabu mwenye tabia korofi
 
Poor photoshop, angalia vidole vya Ronaldo na mdomo wa huyo jamaa
 

2F0E050900000578-0-image-m-24_1449235104464.jpg



Cristiano-Ronaldo.jpg


​
 
Dah! ila poa tu kama anae mpakata anatoka africa, Africa oyeeeee
 
Poor photoshop, angalia vidole vya Ronaldo na mdomo wa huyo jamaa

Jifunze kufanya Tafiti walau kwa kiwango cha chini kabisa usiwe mwepesi wa kuamua bila ya kujiridhisha. Naamini una Access ya Internet tembelea Mitandao na Taarifa mbali mbali zinazowahusu Mafirauni hawa hasa Official Accounts zao za Mitandao ya kijamii.
 
Jifunze kufanya Tafiti walau kwa kiwango cha chini kabisa usiwe mwepesi wa kuamua bila ya kujiridhisha. Naamini una Access ya Internet tembelea Mitandao na Taarifa mbali mbali zinazowahusu Mafirauni hawa hasa Official Accounts zao za Mitandao ya kijamii.

Sina muda huo. Hata kama ni kweli au sio kweli, I am a graphic designer na ninaongelea picha iliyowekwa hapo juu.
 
Dogo kajiharibia kabisa sidhani kama atanunulika tena ushwetani anao fanya mbaya sana
 
Hiki ndicho tunachokipenda wa-Tz ukiingia mtandaoni ukaokota picha fast unakuja kuleta habari haaa haa duh hii speed ingekua iko kuisoma angalau katiba yetu tungeweza kusogea.
 
Sitaki kuamini hili kumbe ndo maana yule girlfriend wake mrusi alimpiga kibuti halafu cha kimya kimya..inawezekana maana hata kuoa ni muujiza kwake!
 
mnauhakika picha zenyewe zimepigwa miezi 3 nyuma leo hii mnamuita shoga aaaaaa siyo kweli jaribuni kuchunguza usitaamke tu kumuita mtu shoga labda wamedit
mkuu achana nao hao jamaa ni hopeless tatizo wanasoma sana magazeti ya udaku
 
Huyu jamaa anataka kuhama Real Madrid kwa nguvu naona Mamafia wenye pesa kina Florentino Perez rais wa madrid wameanza kumchafua ili kumharbia
 
Back
Top Bottom