Kwahiyo Photoshop CR7 kaamua aiweke ata kwenye Twitter yake? Acheni kutetea uozo mwenzio akishaoza mk.ndu utasema nini?
Hakuna Ronaldo hapo angalia hyo picha vizuri
Wewe una mahaba na Ronaldo ndo maana hutaki kuamini habari hizi zimesambaa magazeti na mitandao ya dunia nzima hata klabu yake ya Madrid imetoa siri kuwa kila baada ya mechi huwa anamfata jamaa Morocco na hapo zinafuatia hizo picha mara kapakatwa mara analiwa denda. Sijamskia CR7 akipinga wala kulalamika yuko kimya tu wewe ndo unamtetea
Those are speculations tu, hakuna mtu aliye-prove hayo wala Ronaldo hajakubali...
Acheni kutetea uozo mwenzio akioza mk.ndu utasema nini? Kemea
Maisha pesapicha og hiyo hapo
Picha zipi zinaonyesha CR7 analiwa denda...Great thinker unashindwa hata kugundua picha za kutengeneza?...kwenda Moroco kila siku ni kosa?!
Katumia hela za klabu?
Katumia ndege ya mtu?!
Kuweni basi ma great thinker kama forum yenu inavyowatambulisha!
Thread nzima wewe tu ndo unatetea huo ushoga. Lol acha hizo bana
Natetea ukweli...
Kuna jamaa anamtetea sana ronaldo humu nina mashaka na uwezo wake wa kufikiri namuomba aende instagram kwenye verified account ya Badir ajionee mzigo sio anabishabisha tu jaribu kuunganisha matukio basi wenzake modric na marcelo wamesema wazi wanajua relation hyo who are you to argue??
Umesoma mada tunaongelea picha gani hapo?!
Umeiona picha halisi?
Hao marcelo na modric wamesema kwamba ronaldo ni shoga?
Huyo Badri kasema ronaldo ni mpenzi wake?
Kunapicha yyte anaonekana anampiga hilo mnaita denda?
And yeah, mi ni ronaldo fan die hard, ni kosa?