Tucker katisha si ndio aliyeact na jack chan na pia na michael jackson u rock my world??? Pia huyo rock si ameact movie ya down to earth(Sound trak yake si wimbo wa monica arnold--Just another girl?)
Chris Tucker ni nomaaaaaaaaaaaaaaa!!
Sasa ungekuwa specific unawashindanisha kwa lipi kwani japo wote ni actors na comedians; CT ni actor zaidi na CR ni comedian zaidi, ......?????Wapendwa wana jf , nataka nijue nani ni mkali kati ya Chris rock na Chris tucker . Naomba maoni yenu.
Tucker katisha si ndio aliyeact na jack chan na pia na michael jackson u rock my world??? Pia huyo rock si ameact movie ya down to earth(Sound trak yake si wimbo wa monica arnold--Just another girl?)
Chris Tucker ni nomaaaaaaaaaaaaaaa!!
Sasa ungekuwa specific unawashindanisha kwa lipi kwani japo wote ni actors na comedians; CT ni actor zaidi na CR ni comedian zaidi, ......?????