Basi mkuu inaonesha unajua sana hii kada na of course naungana naww hapo kwa MJ, na huyu ndugu yetu unaebishana nae yeye jukwaa lake la kujidai ni kwenye mapenzi so sio rahisi kujua haya, mfano mzuri hiyo clip Chris ameanza kwa kudag alafu move zote za mwisho ni kutoka kwa MJ
Tena kama CB amekuwa inspired sana na Michael Jackson angalia kwenye nyimbo zake nyingi amekuwa akitumia style za MJ, tukiongelea wasanii hakuna na sidhani kama kuna ambae atakuja kufikia level za MJ kwenye dancing, huyu jamaa alikuwa anacheza aina zote ila now days unakuta wasanii wanajua sana aina flani na aina ingine mbovu