Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
-
- #21
Naona mnataka kutotoa nje ya mada kwa faida ya mizuka wenzako ngoja nikujibu tu.. mnajua ccm mliaminisha umma wa Watanzania Lowassa ni fisadi bila kuwa na ushaidi kisa kikiwa ni uwaziri mkuu? Mbaya zaidi Watanzania wameshajua chuya na mchele ni upi usani na ukweli ni upi 2020 siyo mbaliMkuu ufisadi wa Lowassa kamuulize Mnyika maana alijitanabaisha kuwa anaushahidi. Hata Lissu kamulize kama unamwogopa Mnyika maana Dkt. Slaa ndo kabisaaaa najua huwezi kumgusa. Pia kuhusu W. Kabwe kama ni alikuwa fisadi au la kamulizeni Wenji kwani aliwahi kumtuhumu bungeni kwamba W. Kabwe akiwa Mkurugenzi wa jiji la Mwanza alifanya ufisadi wa kutosha.
Pia usisahau ccm ni ile ileNasubiri tume iliyopewa kazi ya kumchunguza kuja Na majibu je kama kabwe alituumiwa makonda atachukuliwa atua za kinidhamu ndicho ninachosubiri
Mkuu hapo ndio ushangae kama Lowassa alikua fisadi walishindiwa nini kumpeleka kwakina mramba na yona?Hivi Mramba alikuwa waziri katika awamu ngapi vile
alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Prof Muhongo vipi?alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Mkuu nàjua ccm ni Ile Ile sitegemei mabadiliko yoyote hapa ila nasubiri tume yao itakuja Na majibu gani kama kweli kabwe alifanya ufisadi au makonda alikuwa Na mkakati wakePia usisahau ccm ni ile ile
Teh..tehNimemkumbuka jaji Warioba.
Je utendaji wake ulikuaje alistahili kufanyiwa aliyofanyiwa?Nasikia marehem alioa nyumba moja na mkulu mmoja... ya kweli hii?... kama ni kweli labda ni nepotism na sio utendaj ilio muweka pale... ila mimi simjui vizuri mkuu am just thinking louder....
Mkuu ongea tuNgoja nipite tu maana siwezi kumuongelea mtu aliyepumzika milele, ila ni vizuri ripoti ya ufisadi wake itolewe hadharani ili kama ni ukweli au uongo ujulikane
Alipelekwa Mahakamani? TAKOKURU WALIMCHUNGUZA?Hili la kabwe kuwa fisadi mkubwa si lakubishania. Nenda mwanza uambiwe nini ufisadi was Kabwe. Luchelele jirani kabisa na Saint Augustine University alifanya mini juu ya viwanja vile, uwekezaji mkubwa alioufanya Luchelele mabiluoni hayo aliyatoa wapi? Zawadi aloitoa kwa kiongozi mmoja mkubwa wa Taifa hili, zawadi ilutoka pembezoni mwa ziwa Victoria watu wa mwanza wanajua, aliitoa wapi pesa hiyo? So hapo tu, iliyokua clinic ya makongoro iliyokua ikitoa Huduma kwa akina mama na watoto takribani mwanza yote, iko wapi sasa kama so jitihada za kabwe, tusiwe wanafiki, tuongee ukweli.
alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Zile zilikuwa tuhuma hata pinda alipata tuhuma ktk operesheni ya tokomeza ujangili ila aligoma kujiuzulualijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Asante sana MkuuMkataba wa bilioni 3 ukasababisha huyu mzee kusimamishwa kazi ktk mazingira ya kufedhehesha wakati kuna mikataba ya kifisadi ya kutisha ya mabilioni inayohusisha watumishi wa umma pia mtumbua maji kanywea kawa mdogo km piritoni ;
1. Lugumi 39bn watu wake wanapeta hadi leo
2. Tegeta/Escrow account over 300bn
3. EPA over 130bn
4. Meremeta,
5. Kagoda
6. Nyumba za serikali
7. Kivuko cha magogoni/Bagamoyo
8. Fedha za Radar na mengine kibao tu!!
Jibu ni moja tu. Hakuna dhamira ya dhati bali ni usanii uleule kutoka kwa watu walewale. Zaidi sana ni visasi tu.
Na kwa mtindo huu Tanzania hii kamwe haiwezi kwenda mbele kwa viongozi wasanii na wanafiki kama hawa wanaotenda kwa visasi kama hawa kwa kivuli cha dhamira ya kuwaletea watanzania maendeleo!!
kipindi bado ulikuwa hawara yaketatizo halikuwa uwaziri mkuu..tatizo lilikuwa ni richmond...lowasa alishiriki mkataba wa richmond 100%