Kenya ndio mmeanza kutengeneza vifaa tiba nilisoma makala flani kuhusu university of nairobi nadhan ni vyema......acheni kudharau dvp za tz kuhusu chopper mana shule hiyo bado hamjaanza kuifanyia kazi
Inalazimu nikuunge mkono. Mleta mada, be honest. Tizama mpaka na hiyo tovuti ya KiNigeria www. naij. com kwenye picha.
Tunaomba tuwainue wabunifu, please. Hili haisaidii jamii.