Uchaguzi 2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

Nimeapa na nimekata shauri ya kwamba sitakaa nipige kura tena katika maisha yangu. Mara ya mwisho kwangu kupiga kura ilikuwa 2015 na sitarudia tena. Wanasiasa wanawatumia "wananchi wapiga kura" kama ngazi za wao kufika juu kwenye mafanikio, wakati hao Wananchi wanabakia hapo hapo walipo bila ya kupata mafanikio yoyote yale. Binafsi nimekataa "kutumia kura" yangu kama daraja la kuwavusha Wanasiasa kutoka kwenye umaskini na kwenda kwenye UTAJIRI wakati mimi niliyepiga kura nabakia na UMASKINI wangu. Siku ya kupiga kura nitakaa zangu nyumbani nikiangalia movie, sina muda wa kupoteza. Atakaye chaguliwa na achaguliwe mimi I DON'T CARE!
Yani wewe ni Oves kabisa.
 
Eeeeeh mkuu sana mwenye jina kama ile nchi inayopakana na palestina, naona sasa wamekurahisishia kazi yako.....Nakuomba ufanye yako sasa ili tukushukuru.
 
Mimi naomba kujua tu hiyo helicopter anayeipanda ninani?? Maana Kuna wengine. Inasemekena etiii Wana peas maker. Sasa wataweza Kweli??
 
Back
Top Bottom