Chopa Mchopanga awa mkuu wa Wilaya Rorya

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,229
Mwigizaji Chopa mchopanga kwa jila halisi Jumaa Issa Chikoka amekula shavu

20210619_220428.jpg
 
Umeongea ukweli mtupu. TISS, Polisi, PCCB zina wasomi wazuri na wazalendo. Leo hii unaenda kuchukua kina Jerry Muro? Nick wa Pili n.k
CCM ni zaidi ya kansa.
Na bado. Huyu mama atachokwa mapema mno. Tanzania bila kufumua system hakuna kitakachobadilika. Ubaya ni kuwa watu wakisema katiba mpya basi kila mtu anadhani lengo ni tume huru na wapinzani wawe na chance nzuri ya kuingia ikulu jambo ambalo siyo kweli.
 
Mwigizaji Chopa mchopanga kwa jila halisi Jumaa Issa Chikoka amekula shavuView attachment 1823987
Majaribio ya Mapanga yatafanyikia Usoni ( hasa katika Pua yake hii Kubwa kama Kitumbua cha Buguruni Malapa ) na Mwilini mwake.

Nampa pole kwani kapelekwa sehemu ngumu Kwake ambayo nilidhani huko angepelekwa 'Mjeda' tu. Kama nawaona vile Wakurya.
 
Back
Top Bottom