Chopa Mchopanga awa mkuu wa Wilaya Rorya

Na bado. Huyu mama atachokwa mapema mno. Tanzania bila kufumua system hakuna kitakachobadilika. Ubaya ni kuwa watu wakisema katiba mpya basi kila mtu anadhani lengo ni tume huru na wapinzani wawe na chance nzuri ya kuingia ikulu jambo ambalo siyo kweli.
Acheni uchawi nyie wajinga!

Si nyie mnademka humu kila siku au mlikuwa mnafikri anawasikiliza sana
 
Hiv tunaapishwa lini sis tulioteuliwa

Karibuni iringa town madc wenzangu tuunde group la whatsup jipya admn ntakuwa mm mwenyewe fanyen kunipm namba zenu
 
Jamani hii nchi ni ya kwetu sote. Ulaji ni lazima ugawanywe kwenye makundi tofauti tofauti. Kuna watu wasomi wazuri tu, wenye busara na maono mtaani. Wengine wanafanya umama au ubaba ntilie wapo.

Kwa hiyo msihukumu mtu eti kwa sababu anafanya kitu fulani hafai.

Mama amefanya jambo zuri. Kagawa ulaji kwa makundi tofauti tofauti. Acheni wakafanye kazi....wakishindwa ku deliver ndo mjeseme hapa.
 
Hawa wasanii na waandishi wa habari na walioko kwenye siasa Wana fursa ya kufanya mambo wakaonekana.

Huyo jamaa ni yule mwenye sauti ndogo hivi au?
 
Na bado. Huyu mama atachokwa mapema mno. Tanzania bila kufumua system hakuna kitakachobadilika. Ubaya ni kuwa watu wakisema katiba mpya basi kila mtu anadhani lengo ni tume huru na wapinzani wawe na chance nzuri ya kuingia ikulu jambo ambalo siyo kweli.
Achokwe na nani? Kukosa ww haina maana wote watamchoka na hata wakimchoka ilimradi system wanamfaidi hakuna shida wewe mwananchi endelea kuuza vocha
 
Na bado. Huyu mama atachokwa mapema mno. Tanzania bila kufumua system hakuna kitakachobadilika. Ubaya ni kuwa watu wakisema katiba mpya basi kila mtu anadhani lengo ni tume huru na wapinzani wawe na chance nzuri ya kuingia ikulu jambo ambalo siyo kweli.
Mna infatuation ya ajabu na katiba mpya..Kenya katiba mpya iliwapa watu kama kina Sonko (reputation yake questionable) ukuu wa mikoa/wilaya (ugavana). Sasa huku Tz katiba mpya italeta maajabu gani?
 
Majaribio ya Mapanga yatafanyikia Usoni ( hasa katika Pua yake hii Kubwa kama Kitumbua Kilichoiva ) na Mwilini mwake.

Nampa pole kwani kapelekwa sehemu ngumu Kwake ambayo nilidhani huko angepelekwa 'Mjeda' tu. Kama nawaona vile Wakurya.
Jamaa una wivu na kijiba cha roho kukosa uteuzu 😆😆😆😆 ,next time usifikirie wewe ni bora kuliko unaowaona sio bora
 
Mna infatuation ya ajabu na katiba mpya..Kenya katiba mpya iliwapa watu kama kina Sonko (reputation yake questionable) ukuu wa mikoa/wilaya (ugavana). Sasa huku Tz katiba mpya italeta maajabu gani?
Acha uchonganishi tumia akili na elimu fanya jambo lolote ambalo utakuwa umesaidia jamii kutokana na elimu yako au ujuzi wako pia uwe mzalendo kwa nchi yako watu watakuona tu lakini hayo majungu hayatakusaidia, kwa kifupi vijana tunamshukuru Mh.Raisi kwa kutuamini kuwa tunaweza na ninachowaomba vijana wenzetu mlioteuliwe mkawe alama tosha ya kusema vijana wanaweza kutatua shida za wananchi na kulifikisha taifa kwenye uchumi imara zaidi.
 
Majaribio ya Mapanga yatafanyikia Usoni ( hasa katika Pua yake hii Kubwa kama Kitumbua Kilichoiva ) na Mwilini mwake.

Nampa pole kwani kapelekwa sehemu ngumu Kwake ambayo nilidhani huko angepelekwa 'Mjeda' tu. Kama nawaona vile Wakurya.
Tarime wamepeleka mwanajeshi,katika eneo ambalo huwa hawakosei ni huko.Huyo jamaa kapeleka rorya,Rorya wengi ni wajaluo na wasimbiti sio wakorofi sana kama Wakurya.
 
Tarime wamepeleka mwanajeshi,katika eneo ambalo huwa hawakosei ni huko.Huyo jamaa kapeleka rorya,Rorya wengi ni wajaluo na wasimbiti sio wakorofi sana kama Wakurya.
Mkuu upo sahihi kabisa wajaluo hawana shida wao wanataka maendeleo tu ila Tarime panahitaji watu kutoka wajeshini na pia Serengeti kwa Mashinji nae ni mtata mzuri na msomi pia ana busara Mh. Raisi kapatia sana Serengeti.
 
Back
Top Bottom