displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Unaziba rizki zawatu binti.
Hiyo inaitwa 'kupiga nyoka'
NdioWewe ni Binti?!
Ndio
Yesu na maria......mbona unarudisha watu nyuma wewe? Pesa inauma eti kama unabisha muulize Massawe, Mariale, Ndessamburo, Mosha, Manka, Nkya, Munisi, na watu wote wa Marangu, Machame, Kibosho, Old Moshi, Boma Ng'ombe Kiboroloni, Rombo nk(Kwa lafudhi ya kichaga)
Kama nimeona vizuri hapo hakuna wizi. Kilicho fanyika hapo ameweka uwo waya badala ya fuse . Hiyo unayo iona hapo inaitwa cut out.cyo meter
Ha..haaa huyu Ni mhindi WA Bagamoyo hakamatikiTANESCO JIPU LA MOSHI HILO
JIPU LINGINE NENDEN MM STEEL MKAKOMBOE UMEME WETU KABLA ATUJAWAAIBISHA MNAOENDA KUPOKEA PESA KILA MWEZI KWA KUIIBIA SERIKALI
Acha wivu mnafiki wwItabidi nao wapigwe nyoka aisee
hii ni fuse (wamefunga waya baada ya fuse alisi. huu sio wizi mkuuHeri ya Mwaka mpya wadau, natumai wote muwazima wa afya njema. Niwape pole kwa wagonjwa, muugue pole!
Hoja yangu ni juu ya kufichua waovu na wezi katika jamii yetu ili tuweze kuifanya jamii yetu kuwa sehemu salama ya kuishi kwa usawa pia.
Ni mara kadhaa kila nikipita choo hiki cha stendi hapa mjini Moshi nashindwa elewa huu umeme wao umekaaje na je choo ndio wameiba au pana wanufaikaji wengi wa uwizi huu wa umeme!!?
Leo Nimejitosa kuea mpiga filimbi juu ya wizi huu, ombi langu kwa TANESCO na wadau husika naomba mfanye kupita hapo kuona yanayoendelea.
Tazama kiambatanisho cha pichaa..
Source: DisplayName, Safarini.
hii ni fuse (wamefunga waya baada ya fuse alisi. huu sio wizi mkuu
Tanesco huwa mara nyingine wakikukatia umeme wanachomoa fuse tu bila kukata ways so hapo wanajihudimia wenyewe , ,,, hii njia ilikua maarufu kipindi hiko katika mita zisizo za luku unaconnect kuanzia jioni asubuhi unachomoa jumapili ni free asubuhi mpaka asubuhi!Kama nimeona vizuri hapo hakuna wizi. Kilicho fanyika hapo ameweka uwo waya badala ya fuse . Hiyo unayo iona hapo inaitwa cut out.cyo meter
Teh teh teh Mkuu umetisha,iyo j2 ahaahaaaTanesco huwa mara nyingine wakikukatia umeme wanachomoa fuse tu bila kukata ways so hapo wanajihudimia wenyewe , ,,, hii njia ilikua maarufu kipindi hiko katika mita zisizo za luku unaconnect kuanzia jioni asubuhi unachomoa jumapili ni free asubuhi mpaka asubuhi!
KAMA NI HIVYO BASI MITA LAZIMA ISOMETanesco huwa mara nyingine wakikukatia umeme wanachomoa fuse tu bila kukata ways so hapo wanajihudimia wenyewe , ,,, hii njia ilikua maarufu kipindi hiko katika mita zisizo za luku unaconnect kuanzia jioni asubuhi unachomoa jumapili ni free asubuhi mpaka asubuhi!