Choo cha jumuiya

Mhm... Mkuu kwa kauli yko hii.. We unaish wap kwan? Au upo dubai nn
Teh
Aah wapi nipo Tandale hapa vipisi bar kwa mama muuza.
. Toa experience kaka
 
Kwa nchi zngne sawa mkuu... Ila kwetu apa nhmmm cjawah ona
 
Mkiambiwa mlipie jero jero ili huduma ziboreshwe mnakuwa wakali, sasa mnataka iweje?????
 
Teh
Aah wapi nipo Tandale hapa vipisi bar kwa mama muuza.
. Toa experience kaka
Cjawah ona vyoo vya publk ktk hali nzur n vng vnaongoza kwa kuambukiza uti.... Ata vya maofcn mkuu, ni shiidah!
 
Cjawah ona vyoo vya publk ktk hali nzur n vng vnaongoza kwa kuambukiza uti.... Ata vya maofcn mkuu, ni shiidah!
Ila vya public hasa kwenye misongamano mikubwa ndiyo inakuwa hatari zaidi... (shule), kambi za wakimbizi
 
Sema kwa alichouliza bi mdash oprah apo... Bnafs uyo mtu naemwelewa ndo napshana nae kwny washrum ya aina io kiukwel ntamwambia tu bhn hapako vzur so awe makin bs, ususan kam ni lady cuz hao ndo wahanga wakubwa.... Mungu awacmamie jama dah
 
Wenzetu wanavalue ulichonacho saana hasa ukionyesha kujituma na ustadi....
Yah ni kweli lakini matatizo ya office jobs zinakulimit ukiwa mwanafunzi, lakini kuna wakati nilipata sehemu kwenye ofisi wanihitaji saa 16:00 -20:00 ilikwa ni ofisi ya wanasheria, walikuwa na kazi nyingi sana hivyo mdada wa 09:00-17:00 hakuweza kuzifanya zote.
 
Kuna mama mmoja hua akienda chooni huwa akikata gogo ukienda muda huohuo unaweza zimia kwa huo mnuko.
 
Nilikutana na hali hio nilikuta damu juu ya seat, tena choo cha wanaume. Nilijiuliza huyu mtu analiwa tigo au kuna mdada alikuja kutumia.


Mara nyengine nilikuta
juu ya seat nilitoka mbio halafu vyoo vya wazungu hivyo nchi flani.


Pia kuna siku niliingia chooni nilikuta toilet paper ina alama za vidole vyenye haja kuu. Nchi ya wazungu huko



Ndukiiiii
 
Mie pia nashukuru hali hiyo sikutani nayo siku hizi, ila kuna watu wachafu jamani duh! Hawajali kabisa usafi wa mazingira wanayoishi hata chembe. Vyuoni ni noma na kama kuna shida ya maji basi ni kizungumkuti.

Binafsi mazingira machafu ya vyoo vya jumuiya vichafu vichafu ilikuwa shuleni ila siku hizi ni kwa nadra saaana kuexperience vyoo vya namna hiyo
 
Vyoo vya kukaa ni vichafu sana lakini ndo vinapendelewa kuwekwa kwenye kwenye sehemu za umma.
 
kuna mazingira huwezi rekebisha kuna vyoo unakata gogo kwa machale huku unaruka pale unafanyaje?
 
Kwakweli nikishaona ule uchafu kama ninakufahamu kila nikiongea na wewe ile picha itakua inanijia.
Hata majumbani,kuna watu wasiostaarabika;unakuta maji yapo;brush lipo ila lazima abakishe mambo yake pembeni sasa sijui nia ni kuweka alama kuwa alikuwepo mahali pale!
 
Mimi nikiingia public toilet afu ina uchafu kama maji yapo ntasafisha nisije hisiwa mie ndio nimeharibu.Kama hamna siwezi kwa kweli
 
Kipindi nipo Ughaibuni nilipata kibarua cha usafi, sasa kinajumuisha kusafisha choo.. yani vitu nilivyokuwa nakutana navyo.....
 
Kinachonipa utata mkuu, unaweza kukuta hali si nzuri ukaamua kuacha, mlangoni unakutana na yule mwanaume/mwanamke unaemzimikia ndiyo anataka kuingia, hata ukimwambia ile hali na wewe uliikuta vile sijui kama atakuelewa.
Hahahahaaaaaa
 
kabla ya kutoka huwa nahakikisha pako poa kwanza
Mimi sihangaikagi hahaaa bampa tu bampa. Kmzigo juu ya mzigo Nikikuta uyoga moja naacha uyoga mbili. Anayetaka kusafisha atasafisha yeye. Au kama vp waache tu mpaka kisinki kijae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…