Kinachonipa utata mkuu, unaweza kukuta hali si nzuri ukaamua kuacha, mlangoni unakutana na yule mwanaume/mwanamke unaemzimikia ndiyo anataka kuingia, hata ukimwambia ile hali na wewe uliikuta vile sijui kama atakuelewa.Mkuu, hili jambo huwa linasikitisha sana. Kama kunakuwa na uwezekano unasafisha kimtindo. Dah?!
Mkuu wangu, jitahidi kusafisha tu. Yaani inaudhi kweli lakini ndiyo vile. Mimi huwa nasafisha kama maji yapo. Sipendi mtu aingie baada yangu halafu aseme... "huyu jamaa ameharisha kimbwa..."! HahahahaaaKinachonipa utata mkuu, unaweza kukuta hali si nzuri ukaamua kuacha, mlangoni unakutana na yule mwanaume/mwanamke unaemzimikia ndiyo anataka kuingia, hata ukimwambia ile hali na wewe uliikuta vile sijui kama atakuelewa.
Mkuu maofisini wengine jana walikunywa kangara lilichacha wakiwa wanaendesha hata hawasubiri maji yajae aflash mara ya pili huyo anatoka.Binafsi mazingira machafu ya vyoo vya jumuiya vichafu vichafu ilikuwa shuleni ila siku hizi ni kwa nadra saaana kuexperience vyoo vya namna hiyo
Hili ni tatizo hasa panapokuwepo na workmates ambao si wasafi.Mkuu maofisini wengine jana walikunywa kangara lilichacha wakiwa wanaendesha hata hawasubiri maji yajae aflash mara ya pili huyo anatoka.
Ki sheria kama maji hayatoki ofisi inatakiwa ifungwe, unapofungua ofisi au sehemu yeyote yenye mkusanyiko wa watu unatakiwa kuwe na huduma ya choo, kama kuna matatizo ya maji kuwe na cha shimo au mobile toilet, kuwe na water fountain, haya ni kwaajili ya wafanya kazi na wananchi watakaopata huduma katika ofisi ile, kuwe na madirisha ya kuingiza mwanga na hewa ya kutosha na kama ni nchi za baridi kuwe na heating system wakati wa kipupwe.Hili ni tatizo hasa panapokuwepo na workmates ambao si wasafi.
Kiukweli huo mfano uliotoa yaani nikiingia choo cha hivyo itabidi nifanye usafi ndio nitoke kama hakuna maji sasa hapo ndipo penye mziki
Kweli.Ki sheria kama maji hayatoki ofisi inatakiwa ifungwe, unapofungua ofisi au sehemu yeyote yenye mkusanyiko wa watu unatakiwa kuwe na huduma ya choo, kama kuna matatizo ya maji kuwe na cha shimo au mobile toilet, kuwe na water fountain, haya ni kwaajili ya wafanya kazi na wananchi watakaopata huduma katika ofisi ile, kuwe na madirisha ya kuingiza mwanga na hewa ya kutosha na kama ni nchi za baridi kuwe na heating system wakati wa kipupwe.
Hahah, ile harufu kule Tanga tunamwagia matumbo ya samaki inakatika yote, don't ask me the theory behind this.Kweli.
Kwa waliosoma boys vyoo vya shimo ni hatari... tulikuwa tunavua nguo zote kabla ya kuingia maana harufu utakayotoka nayo hapo ni balaa.
I must.... maana galaxy kuna vyoo tulikuwa tunaviita western vilikuwa ni hatari.Hahah, ile harufu kule Tanga tunamwagia matumbo ya samaki inakatika yote, don't ask me the theory behind this.
Kumbe ulisoma Galaxy? Tulikutana nao kwenye YCS Mapendo. Nilipomaliza form four nilisoma secretarial kwa miezi michache Commercial wakati ninasubiri majibu.I must.... maana galaxy kuna vyoo tulikuwa tunaviita western vilikuwa ni hatari.
Yes nimesoma hapo miaka ya kutosha.Kumbe ulisoma Galaxy? Tulikutana nao kwenye YCS Mapendo. Nilipomaliza form four nilisoma secretarial kwa miezi michache Commercial wakati ninasubiri majibu.
Mhm... Mkuu kwa kauli yko hii.. We unaish wap kwan? Au upo dubai nnBinafsi mazingira machafu ya vyoo vya jumuiya vichafu vichafu ilikuwa shuleni ila siku hizi ni kwa nadra saaana kuexperience vyoo vya namna hiyo