Chondee chondee wapendwa nakosa rahaa...

dodoso33

Member
Oct 9, 2012
38
11
wapendwa shikamoo,poleni na majukumu ya kujenga taifa
msaada tafadhali
nimeappeal loan board lakini cha ajabu nakutana na hilo tatizo hapo chini kwenye picha "The Course field must contain only positive numbers" nashindwa kuelewa nijaze vipi hiyo form!
Natanguliza shukrani zenu
 

Attachments

  • UC121019114956.png
    UC121019114956.png
    16.3 KB · Views: 82
Haya sasa utakapolipata bumu ule na maduu,ndo hivyo najua utasahau msoto uliopitia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom