Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,323
- 115,323
Hahahaaa. Nimeiona kaka.Hahaaaaa... Hii nmeiepnda. Eti kujipigapiga kichwani. Ni kwelli muda wote wanajipigapiga mara wajikune kwa kidole cha kati kichwani. Wengine hata kama wanakula unakuta muda wote anakusa nywele kwa kuzirudisha nyumba halafu anaendelea kutumia huo huo mkono kula.. Hadi kinyaa..
Ila nmependa post yako. Naomba aione dada emmyta.