Chondechonde: Msioe Wanawake waliojichubua na Wanaovaa Mawigi, Mtajuta..!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Heshima kwenu wakuu,

Naomba nitumie wasaa huu kuwaasa wale wanaotegemea kuoa. Nakusihi sana wewe unayetaka kuoa, Usioe Mwanamke aliyejichubua au anayevaa Mawigi, Utajuta sana.

Ndoa nyingi zenye matatizo au Wanawake wanaoonekana kupinda/kushindikana au kutobabaika na lolote, wengi wamejichubua au wanavaa Mawigi.

Mtu ameshindwa kumheshimu Mungu wake aliyemuumba kwa rangi nzuri nyeusi atakuheshimu wewe uliyemuoa? Mna macho lakini hamuoni.

Ukitaka ndoa yenye furaha, Nyumba isiyo na makelele basi epuka wanawake waliojichubua na kuvaa mawigi.
Mawigi1.jpg

Usiponisikiliza mimi itakula kwako. Au kabla ya kunisikiliza, fanya uchunguzi wako wa watu wenye mawigi na kujichubua tabia zao ukilinganisha na hawa natural. Hawa waliojichubua ndio wanafundisha tabia mbaya hawa natural, Usikubali mpenzi wako aongee wala kuzoeana na Mwanamke mwenye kujichubua au kuvaa mawigi. Kwanza wanazeeka haraka. Mtu mwenye miaka 20 unaweza kumuamkia ukijua ana miaka 35

Waliojichubua ni wafuasi wa tigo. Hutaki unaacha

Wanaobandika kope ni wale wavaa mawigina waliojichubua

Wanaobandika kucha ni wale wavaa mawigi na wanaojichubua

Wanaopiga Kelele Mitandaoni hata Mitaani bila soni ni wale Waliojichubua na Wavaa Mawigi.

Wananuka. Ukilala naye unavumilia harufu. Wnanuka harufu kama ya chumba cha vidonda

Kujichubua na kuvaa Mawigi ni laana kwenye mahusiano, mara chache sana mahusiano yenu yakadumu. Kwa Ufupi jua upo na Pepo ndani.

Naamini ujumbe umefika. Ila neno langu sio sheria. Mtoto akililia wembe mpe.
tapatalk_1509797296546.jpeg

Je unajua Mawigi na Rasta Zinatoka wapi? Bonyeza hapa

NB: Watu waojichubua na kuvaa mawigi msiwakopeshe, hawalipi. Zaidi ya yote si waaminifu.

Wengi walijichubua na kuvaa mawigi ni Mashangingi. Hutaki unaacha.
 
Heshima kwenu wakuu,

Naomba nitumie wasaa huu kuwaasa wale wanaotegemea kuoa. Nakusihi sana wewe unayetaka kuoa, Usioe Mwanamke aliyejichubua au anayevaa Mawigi, Utajuta sana.

Ndoa nyingi zenye matatizo au Wanawake wanaoonekana kupinda/kushindikana au kutobabaika na lolote, wengi wamejichubua au wanavaa Mawigi.

Mtu ameshindwa kumheshimu Mungu wake aliyemuumba kwa rangi nzuri nyeusi atakuheshimu wewe uliyemuoa? Mna macho lakini hamuoni.

Ukitaka ndoa yenye furaha, Nyumba isiyo na makelele basi epuka wanawake waliojichubua na kuvaa mawigi.
View attachment 623858
Usiponisikiliza mimi itakula kwako. Au kabla ya kunisikiliza, fanya uchunguzi wako wa watu wenye mawigi na kujichubua tabia zao ukilinganisha na hawa natural. Hawa waliojichubua ndio wanafundisha tabia mbaya hawa natural, Usikubali mpenzi wako aongee wala kuzoeana na Mwanamke mwenye kujichubua au kuvaa mawigi.

Wanaobandika kope ni wale wavaa mawigina waliojichubua

Wanaobandika kucha ni wale wavaa mawigi na wanaojichubua

Wanaopiga Kelele Mitandaoni hata Mitaani bila soni ni wale Waliojichubua na Wavaa Mawigi.

Kujichubua ba kuvaa Mawigi ni laana kwenye mahusiano, mara chache sana mahusiano yenu yakadumu. Kwa Ufupi jua upo na Pepo ndani.

Naamini ujumbe umefika. Ila neno langu sio sheria. Mtoto akililia wembe mpe.

Je unajua Mawigi na Rasta Zinatoka wapi?
ndo maana mademu dizain hii chuo nilikuwa natia naamsha.
 
Mzee baba naona mineno ya ghadhabu inakutoka tu.
Ila ni ukwl mtupu.
kwamza mwanamke akijichubua tu tambua hata hajiamin na haijui thamani yake.

mana utakuta mwengine kajikwangua kawa wanjanoooooo mpk mishipa yote unaiona kwa urahis.
Ujumbe umewafika wasipokuelewa hawatoelewa tena.
 
Mkuu mm binafsi sio mfuasi wa hayo mambo ila unapoongelea ndoa ni zaidi ya muonekano wa wanandoa cjui mawig cjui kujichubua cjui kutojichibua cjui blah blah , ukioa au kuolewa kutokana na muonekano wa mtu utaishia kulalamika mitandaoni , kuna mtu anaoa mwanamke natural kuanzia juu mpaka chini halafu kati ya watoto 7 wawili tu ndo wa kwake. "Don't judge a book by its cover"
 
Nyuzi kama hizi hazichelewi kutufanya sote tuwe ni ambao sio waumini wa hivyo vitu.

Ila kiukweli saa nyingine ni ngumu kumzuia mtu anachoona kinafaa kwenye maisha yake na kama mijini wanawake walio wengi ambao hawavai ushungi basi mawigi au rasta ndio zinawaokoa.

Hivyo wote tunaowaona njiani wamevaa hayo mawigi hawapaswi kuolewa? Mmhh
 
Kweli kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom