Chondechonde: Msioe Wanawake waliojichubua na Wanaovaa Mawigi, Mtajuta..!

Mwe! Mbona kama unahacra na mtuu? Umefanyiwa visivyo nn?
Kuna wakaka wanawapenda wadada wa aina hyo kama hawapendi kitu kuhusu wao wanawaambiaa na wanabadilika mbonaa upendo ndio kila kitu akikupenda atabadilika vile unavyotakaaa.
Calm down asee

Sent from my A5002 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake mshauri wao kipofu! Kuna wanaodai kuwa wanafanya kama urembo ila ni ukweli ulio dhahiri kuwa hizo shida zote kwa wengi wao ni ili wawavutie wanaume.

Unaishi jiji kama Dar halafu unavaa wigi wiki! Kazi kujipigapiga tu kichwani au kujikuna na makucha yao ya bandia! Ndo maana hata usafi wa sehemu nyeti hauwezi fanyika kwa mtindo huu..
 
Hahaaaaa... Hii nmeiepnda. Eti kujipigapiga kichwani. Ni kwelli muda wote wanajipigapiga mara wajikune kwa kidole cha kati kichwani. Wengine hata kama wanakula unakuta muda wote anakusa nywele kwa kuzirudisha nyumba halafu anaendelea kutumia huo huo mkono kula.. Hadi kinyaa..

Ila nmependa post yako. Naomba aione dada emmyta.
 
Kwani hao wanaume wa watu wanashikwa mkono mpaka wakubali tena wanahudumia kushinda hata wake zao wa nyumbani, mke marufuku mchepuko kama kawa
Bora ukamatwe na Polisi kuliko kukamatwa na mwanamke. Ndo maana nikatoa angalizo sababu najua wanaume ni dhaifu kwa mwanamke
 
Bora ukamatwe na Polisi kuliko kukamatwa na mwanamke. Ndo maana nikatoa angalizo sababu najua wanaume ni dhaifu kwa mwanamke
Haaa haaa kweli eee kumbe tusiwalaumu sana, mie niwahi kutibua ke anamtongoza me heee halafu me hata hajitambui namwambia wewe kuitwa na mwanamke utapona kweli ndiyo kushituka duu asnte sana
 
Haaa haaa kweli eee kumbe tusiwalaumu sana, mie niwahi kutibua ke anamtongoza me heee halafu me hata hajitambui namwambia wewe kuitwa na mwanamke utapona kweli ndiyo kushituka duu asnte sana
Kabla sijaongea na wewe kiutu uzima, wewe ni ke au me?
 
Heshima kwenu wakuu,

Naomba nitumie wasaa huu kuwaasa wale wanaotegemea kuoa. Nakusihi sana wewe unayetaka kuoa, Usioe Mwanamke aliyejichubua au anayevaa Mawigi, Utajuta sana.

Ndoa nyingi zenye matatizo au Wanawake wanaoonekana kupinda/kushindikana au kutobabaika na lolote, wengi wamejichubua au wanavaa Mawigi.

Mtu ameshindwa kumheshimu Mungu wake aliyemuumba kwa rangi nzuri nyeusi atakuheshimu wewe uliyemuoa? Mna macho lakini hamuoni.

Ukitaka ndoa yenye furaha, Nyumba isiyo na makelele basi epuka wanawake waliojichubua na kuvaa mawigi.
View attachment 623858
Usiponisikiliza mimi itakula kwako. Au kabla ya kunisikiliza, fanya uchunguzi wako wa watu wenye mawigi na kujichubua tabia zao ukilinganisha na hawa natural. Hawa waliojichubua ndio wanafundisha tabia mbaya hawa natural, Usikubali mpenzi wako aongee wala kuzoeana na Mwanamke mwenye kujichubua au kuvaa mawigi. Kwanza wanazeeka haraka. Mtu mwenye miaka 20 unaweza kumuamkia ukijua ana miaka 35

Waliojichubua ni wafuasi wa tigo. Hutaki unaacha

Wanaobandika kope ni wale wavaa mawigina waliojichubua

Wanaobandika kucha ni wale wavaa mawigi na wanaojichubua

Wanaopiga Kelele Mitandaoni hata Mitaani bila soni ni wale Waliojichubua na Wavaa Mawigi.

Wananuka. Ukilala naye unavumilia harufu. Wnanuka harufu kama ya chumba cha vidonda

Kujichubua na kuvaa Mawigi ni laana kwenye mahusiano, mara chache sana mahusiano yenu yakadumu. Kwa Ufupi jua upo na Pepo ndani.

Naamini ujumbe umefika. Ila neno langu sio sheria. Mtoto akililia wembe mpe.
View attachment 623938
Je unajua Mawigi na Rasta Zinatoka wapi? Bonyeza hapa

NB: Watu waojichubua na kuvaa mawigi msiwakopeshe, hawalipi. Zaidi ya yote si waaminifu.

Wengi walijichubua na kuvaa mawigi ni Mashangingi. Hutaki unaacha.
Mkuu
Wanakera hao zaid ya kawaida
 
Mkibana kwemye kona ya kitanda ukiwa unakula kiboga utamuonea huruma anabadilika na kuwa mwekundu kama kitimoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom