Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 762
Emb acheni unafiki wenu Mkuu mwanamke kujiremba hata kwenye vitabu imeandikwa japo imeandikwa ajirembe kwa mumewe.. Huo ndo ukweli mwanamke akijuremba anaongeza mvuto wake .. Sipendi mwanaume wa dizaini mnafiki atakwambia usipake chochote huku akienda nje anatamani waliojiremba na hivo Mara nyingi inafanywa na wanaume wenye wivu ulopitiliza anahofia ukishajiremba utatongozwa manjiani.. MWANAMKE KUJIREMBA BHANAMbadala ni kubaki Kama Mtu alivyo, ili mradi unaoga Maji na sabuni vizuri kisha ukipaka mafuta yako ya kawaida Kama vile mafuta ya nazi, Vaseline n.k Kama utaona utamelemeta usoni unaweza kubaki hivyo hivyo bila kupaka chochote usoni na ukawa poa kabisa! Ila pia tujiulize ;? Kwani kabla ya kuanza Kwa hayo mambo ya mawigi, Dawa Za nywele (kali kiti, relaxa etc) , hizo enjofesi, mapodapoda, mikorogo n.k wanawake walikuwa hawapendezi? Inamana Kabla ya kuja Kwa vitu hivyo toka Kwa wazungu wanawake walikuwa hawapendezi? Unakuta wengine hadi watoto wanawaweka Dawa Za nywele, wanawasuka rasta ambazo zinavutwa zinauma Kama nini sijui, mtoto anakataa analia lakini anabenbelezwa akubali, jamani ndugu zangu ?!......