Chondechonde CHADEMA tumuonee huruma yule descendant wa uenyekiti BAVICHA"

Analalamika kwa nani? Analalamikia wapi? Amelalamika lini? na je yeye ndo amekutuma uje hapa kumsemea au unamhurumia kwa hiyo wasema kwa niaba yake?. Je wanaohusika na hili ulilolileta hapa ndilo lalamiko la msingi? bado ni matege ya fikra. Nimeshindwa kuchangia.......... labda bavicha wengine waseme. Ila najua CDM wanasema ukweli ili Taifa la Tanzania linufaike

Kwa maelezo yake inaonekana Kamanda katoa maoni yake kule FB
 
Kumbe ni Ben Saanane yule mchaga? Hii habari ingemhusu Mmatumbi, Mzanzibari, au yeyote kutoka ukanda wa Pwani jukwaa lingeshachafuka hili.
 
tupastie hiyo link kutoka fb tuone alivolalamika but binafsi sidhani labda mtoa thread anataka kuendeleza malumbano yasio tija tu
 
Ni hali ya kusikitisha sana Chama kama taasisi kuwa na watu au mtu anayenung'ung'ika kila siku pasipo hata kujua sababu ya msingi, hebu naomba washauri na viongozi wa chama wapate nafasi waketi naye chini ili kujua tatizo lake huenda kisaikolojia hayupo sawa kutokana na sababu anazozijua yy binasfi kwani ni mara nyingi kijana huyu aliyeenguliwa kwenye uchaguzi wa BAVICHA alipogombea uenyekiti, sasa ameonekana akitoa post za kihuruma huruma FCBK na kulalama eti anapigwa siasa za majungu hadi kupelekea watu wengi kukishtumu chama kuwa huenda ndio kinamuhujumu mpaka na wengine kuvuka mipaka na kumtaka ahame chama.

My outlook:
Jamani wakuu hebu tusaidiane kwa mawazo juu ya kamanda wetu huyo.

Nimelalamika? Leta ushahidi wa hayo unayosema.......gossip mongers

This is purely speculative by the way.Endelezeni hiyo michezo yenu ya majungu tu,cha moto mtakiona.

yes mkuu! Tumsaidieni kwa ushauri huyu kamanda tusije tukampoteza bure.

Unatembea kwenye status za watu na kuja kuleta umbea na kuongezea chumvi na majungu JF.Jifunze kutumia social networks.Acha ushamba!
 
Benn unahitajika hapa kuna tuhuma nzito juu yako!
Kamanda,
Hakuna tuhuma hapo...huyu anahitaji shule ya kutumia social networks.Sijui kama ameona hicho anachokisema kwa nini asimalize huko huko facebook. JF imeingiliwa na vijana wa Facebook huku wanadhani kunafanana.

Go through every thread and you will see them engaging in one combat or the other with other members fueling hate and beef. They can't learn to shut their traps up and will always come back to nag and spew codswallop at every given moment.

If this is not stupidity of the highest order i dont know what else can be defined as that. There is no thread that you wont see 2 or more of this silly members of this click come together to say something intelligent, rather its to hijack a thread and cause confusion, mayhem and fights and most of these gossip mongers listed above will just join into the debate, not to douse the tension but rather to add more fuel to it and run off. Sorry for beiong harsh,sometimes they must learn in a hardway.


Analalamika kwa nani? Analalamikia wapi? Amelalamika lini? na je yeye ndo amekutuma uje hapa kumsemea au unamhurumia kwa hiyo wasema kwa niaba yake?. Je wanaohusika na hili ulilolileta hapa ndilo lalamiko la msingi? bado ni matege ya fikra. Nimeshindwa kuchangia.......... labda bavicha wengine waseme. Ila najua CDM wanasema ukweli ili Taifa la Tanzania linufaike

Comrade Isango,

Ukienda hivyo hawa vijana wa facebook utawakatisha tama ya kuja JF bwana.Mtu amedandia facebook akakimbia huku kumwaga hisia zake.Hawajazoea philosophical arguinments....haha haa.Thanks comrade
 
Back
Top Bottom