Chondechonde CHADEMA tumuonee huruma yule descendant wa uenyekiti BAVICHA"

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Ni hali ya kusikitisha sana Chama kama taasisi kuwa na watu au mtu anayenung'ung'ika kila siku pasipo hata kujua sababu ya msingi, hebu naomba washauri na viongozi wa chama wapate nafasi waketi naye chini ili kujua tatizo lake huenda kisaikolojia hayupo sawa kutokana na sababu anazozijua yy binasfi kwani ni mara nyingi kijana huyu aliyeenguliwa kwenye uchaguzi wa BAVICHA alipogombea uenyekiti, sasa ameonekana akitoa post za kihuruma huruma FCBK na kulalama eti anapigwa siasa za majungu hadi kupelekea watu wengi kukishtumu chama kuwa huenda ndio kinamuhujumu mpaka na wengine kuvuka mipaka na kumtaka ahame chama.

My outlook:
Jamani wakuu hebu tusaidiane kwa mawazo juu ya kamanda wetu huyo.
 
Kitaalamu kabla hujamlaumu mtu unatakiwa kwanza ujilaumu mwenyewe, Na Ukimkuta mtu ni mlalamishi sana ana matatizo huyo, na wengine nowdayz wanatumiwa na watu, Tusimwonee huruma huyo mtu ni mlalamishi 2
 
Ni hali ya kusikitisha sana Chama kama taasisi kuwa na watu au mtu anayenung'ung'ika kila siku pasipo hata kujua sababu ya msingi, hebu naomba washauri na viongozi wa chama wapate nafasi waketi naye chini ili kujua tatizo lake huenda kisaikolojia hayupo sawa kutokana na sababu anazozijua yy binasfi kwani ni mara nyingi kijana huyu aliyeenguliwa kwenye uchaguzi wa BAVICHA alipogombea uenyekiti, sasa ameonekana akitoa post za kihuruma huruma FCBK na kulalama eti anapigwa siasa za majungu hadi kupelekea watu wengi kukishtumu chama kuwa huenda ndio kinamuhujumu mpaka na wengine kuvuka mipaka na kumtaka ahame chama.

My outlook:
Jamani wakuu hebu tusaidiane kwa mawazo juu ya kamanda wetu huyo.

JF is where we talk openly. Mtaje basi ili mjadala uende vizuri!
 
Jf home of great thinker, your involved so yo shoul be be clear and open.
 
Analalamika kwa nani? Analalamikia wapi? Amelalamika lini? na je yeye ndo amekutuma uje hapa kumsemea au unamhurumia kwa hiyo wasema kwa niaba yake?. Je wanaohusika na hili ulilolileta hapa ndilo lalamiko la msingi? bado ni matege ya fikra. Nimeshindwa kuchangia.......... labda bavicha wengine waseme. Ila najua CDM wanasema ukweli ili Taifa la Tanzania linufaike
 
Saanane ni wewe au Habibu Mchange ndo wanahurumiwa humu kwenye JF? Kwanini mambo ya kwenye Uchaguzi wenu yaletwe kama sympath katika Jukwaa hili?
 
Mleta thread anaonekana ana mambo yamejificha. Habari imejifichajificha kama majungu! Ben ni member humu. Kama anatazamo tofauti kwa nini wewe ndio useme? Akikanusha utathibitisha dhamira yake? Kwa nini alipeleka fb na sio jf. Na kama anaona kule ndio kuna watu wa level za kunung'unika na sio huku, huoni kwamba umechemka?
Jipange upya, usikurupuke!
 
Analalamika kwa nani? Analalamikia wapi? Amelalamika lini? na je yeye ndo amekutuma uje hapa kumsemea au unamhurumia kwa hiyo wasema kwa niaba yake?. Je wanaohusika na hili ulilolileta hapa ndilo lalamiko la msingi? bado ni matege ya fikra. Nimeshindwa kuchangia.......... labda bavicha wengine waseme. Ila najua CDM wanasema ukweli ili Taifa la Tanzania linufaike

du! Yani hata ww Josephat Isango mwenyekiti wa Bavicha ya singida unakuwa na hoja dhaifu kiasi hiki? Au na ww unaunga mkono?
Usipende kukurupuka maana 2015 utapewa jimbo sasa kwa hali hii ya kuropoka utaishia miongozo isiyo na kikomo bungeni mpaka utajutia ubunge wako.

Be a guy!
 
Mleta thread anaonekana ana mambo yamejificha. Habari imejifichajificha kama majungu! Ben ni member humu. Kama anatazamo tofauti kwa nini wewe ndio useme? Akikanusha utathibitisha dhamira yake? Kwa nini alipeleka fb na sio jf. Na kama anaona kule ndio kuna watu wa level za kunung'unika na sio huku, huoni kwamba umechemka?
Jipange upya, usikurupuke!

ww nawe unaongea kitu ambacho hukijui kabisa sasa kama unabisha ingia kwny fbk wall yake ndo utajua nini namaanisha.
 
Back
Top Bottom